Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama.. kulinganisha na njombe ni upuuzi
emoji116.png
View attachment 2473177View attachment 2473178
Acha mzaha Basi..

Njombe 👇
njombe_region_1673153184421461.jpg
njombe_region_1673153634423122.jpg
 
Shy town beibeee [emoji177][emoji116]
Aisee NSSF imetupendelea sana shinyanga..tuna complex investment mbili kahama na shy town ..
Ni mkoa wa tatu kuwa multi Investment za NSSF baada ya mwanza na dar [emoji116]
48ac06ac0d1d9d67f93e81918729d94a.jpg
48ac06ac0d1d9d67f93e81918729d94a.jpg
 
Musoma .haivumi lakin imo .it's smarter than mbeya[emoji116]
ed9955919fab94858b4aa69cd655f9bf.jpg
8ecd976374a3267fc1b3a7496dde7027.jpg
e5c8113b8063e261e83682054c23ee6e.jpg
5e19735d1ffb9a8ea74d955ff7fe827f.jpg
20851654491_82fac4e4ec_b.jpg
20850165321_092963a497_b.jpg
20658163439_204754abbe_b.jpg
 
Mwalo [emoji1787][emoji1787]

Kuna Mikoa wakinileta kufanya kazi watakuwa wamenikomoa Sana Kama Mara,Shinyanga na Simiyu hakuna maisha Wala mademu.
We endelea kujichekesha Kwa maumivu wakati Mara imewapumulia pumzi ya moto kwenye mapato [emoji75][emoji116][emoji116]
Mbeya [emoji12][emoji12][emoji12]
IMG-20230106-WA0001.jpg
 
Mapato ya migodi ya Wazungu ndio unalingia?

Kama Halmashauri Zina mapato kidogo siwezi kuja huko Ni uswekeni na wanaishi maskini.
Leo unasema mapato ya migodi eti ..kwani hyo migodi haitoi csr ,,haitoi service levies,haiajiri .. stupid argument
 
Leo unasema mapato ya migodi eti ..kwani hyo migodi haitoi csr ,,haitoi service levies,haiajiri .. stupid argument
Sasa csr inaenda Halmashauri,nataka mapato ya Halmashauri per say yanahotokana na biashara za watu directly sio Migodi ,naona unanitoa ufahamu..
 
Back
Top Bottom