Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Wakat mbeya mkijifariji na barabara ya njia nne mwanza kujengwa hospitali nyngne ya rufaa ya mkoa
Iko wapi hiyo hospitali?

Nyie ndio mtakuwa mnajifariji maana Barabara utabadili Hadi Mandhari ya Jiji Sasa Hospital utabadili Nini?

Uwata Hospital Mbeya 👇
uwata-hospitalivumwembeya-ivumwe-mbeya-61e48a3b888a3.jpg
uwata-hospitalivumwembeya-ivumwe-mbeya-61e48a3c3a8c0.jpg
Screenshot_20221218-140852.png
Screenshot_20221218-140838.png
Screenshot_20221218-140845.png
 
Kwanza Mwanza Jiji plus Ilemela haiwezi kuwa na Watu 1,245,000 hii Ni stori za kubumba..

Subiria NBS watatoa takwimu sahihi sio hizi swaga za kindezi.
 
Wewe ndio fala,Mwanza imekuwa jiji mwaka 2000 ikiwa.na watu 342,000 tuu.

Mwaka 2005 ilikuwa na Watu 460,000 Sasa mbona ilikuwa Jiji bila kukidhi kiwango Cha watu 500k?

Ulichokuwa unabisha Ni Nini hasa?
Mkapa aligawa majiji kama zawadi ..na sio quality.....,, mwanza imefikia vigezo 2006 ..mbeya labda ndio mfikie mwaka huu
 
Kale Kajengo ka Mahakama mlikuwa mnalingia kujengwa na Ruvuma pia..

I told you kwamba plan Ni kujenga Mikoa yote so kutangulia sio kufika 👇


Kuna ile kitu ya deputy attoney general inyojengwa sasa ni nouma, achana na vituo jumuhishi vya kutolea haki, Mwanza ni fire fire.
 
Back
Top Bottom