The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,965
Vipya vya Mwanza na Kahama viko wapi?Mbona unarudia vijengo vile vile![]()
Mbeya Tena 👇
Vipya vya Mwanza na Kahama viko wapi?Mbona unarudia vijengo vile vile![]()
Kama hizo ni cruise ship za kitanzania sijui cruise ship zenyewe zikiwa Tanzania zitaitwaje, nikutoe ulimbukeni👇👇👇👇👇Tuletee ya Mwanza 😁😁
Ndo vitu vyao vya msingi walivyonavyo ...hawana kingine tofauti na hichoSunk nimeona nikuulize tu kwanini unapenda kupost sana magari kuliko vitu vingine vya msingi?






Wewe Ni mgeni wa majukwaa ya Ligi,ingia hata jukwaa la Dar vs Nairobi utapata jibu..Sunk nimeona nikuulize tu kwanini unapenda kupost sana magari kuliko vitu vingine vya msingi?
Mumeshajipanga kisaikolojia lakini? Mwaka huu 2022/23 Tunduma MC itakuwa inashindana na Jiji la Mwanza ,akina Ilemela na Kahama sio size yake Tena 😁😁Ndo vitu vyao vya msingi walivyonavyo ...hawana kingine tofauti na hicho
Tunaomba mapato ya mkoa wa mbeyaView attachment 2471426
Ila uzi wenu wa dar vs nairobi wa kisenge sana😂😂😂😂😂 watu wanashindana mpaka msosi kwamba leo amekula nini, wanapiga picha adi za pesa kuahindana, wanashindania adi aina ya viatu, nilishangaa adi wanashindanisha wapi kuna malaya wazuri😂😂😂😂😂😂Wewe Ni mgeni wa majukwaa ya Ligi,ingia hata jukwaa la Dar vs Nairobi utapata jibu..
Kule ukiacha mabasi,watu wanashindania magari binafsi,vyeti vyao binafsi nk 😁😁.
So tulia tukuoneshe chuma mpyaaa za Kusini naona vile vimachungwa vya Ally's mnavyolingia vimewashika ushamba😜😜
Alama ya kitambaa chekundu huko China Ni Ishara ya upendo, Mwekezaji hufanya hivyo kila anapoleta chuma mpya.
Mwisho huwa napenda kuwakera haters wa Nyanda za Juu Kusini ,whenever kampuni mpya ikianzisha route au kuleta bus jipya lazima nikukere👇View attachment 2471599View attachment 2471600View attachment 2471601
Hiyo MC umeipa wew ,,auMumeshajipanga kisaikolojia lakini? Mwaka huu 2022/23 Tunduma MC itakuwa inashindana na Jiji la Mwanza ,akina Ilemela na Kahama sio size yake Tena
Ni hayo tuu kwa leoView attachment 2471608
Nyanda za Juu na Magharibi kunasidi kufunguliwa 👇Hiyo MC umeipa wew ,,au
Nyanda za Juu na Magharibi kunasidi kufunguliwa


ukiona hivyo ujue maeneo hayo yalikuwa remote .