The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,965
Njombe Unyama mwingi Sana 👇
Kahama ilishapoteana kwa Kukosa Cha kupost 🤣🤣
Tumieni fursa huu ni wakati wetu nyie watu wa kusini, ila waziri wa ujenzi anawabeba sana kipindi hiki.Njombe Unyama mwingi Sana 👇View attachment 2462265View attachment 2462266View attachment 2462267View attachment 2462268View attachment 2462269View attachment 2462270
Kahama ilishapoteana kwa Kukosa Cha ku View attachment 2462265View attachment 2462266View attachment 2462267View attachment 2462268View attachment 2462269View attachment 2462270post 🤣🤣
Kazi imeanza huko 👇Tumieni fursa huu ni wakati wetu nyie watu wa kusini, ila waziri wa ujenzi anawabeba sana kipindi hiki.
Kazi imeanza huko 👇
Kazi imeanza huko 👇
🤣🤣🤣🤣Ila huyu waziri inamaana sisi kanda ya ziwa ata mkoa mmoja kutembelewa na barabara ya lami hamna duh haya bhana.
🤣🤣🤣🤣
Tukutane January👇
Huo uchafu..unatuharibia Uzi tu ...Wewe umeona Kuna shida gani hapo labda unisaidie.
Bro nimekwambia achana na Mbeya kabisa.
UyoleView attachment 2462215View attachment 2462216View attachment 2462217View attachment 2462218View attachment 2462219View attachment 2462220
Kahama sio size ya vitongoji...Njombe Unyama mwingi SanaView attachment 2462265View attachment 2462266View attachment 2462267View attachment 2462268View attachment 2462269View attachment 2462270Kahama ilishapoteana kwa Kukosa Cha kupost
![]()

Zamu yenu ilishapita saizi huko Kanda ya Ziwa tunamalizia miradi aliyoshindwa Rais wenu,Miradi mipya subirieni Tactic tuu..Kuna muda adi naona wivu nyie watu wa kusini mnavyopendelewa kwenye utawala huu.
Wanapendelewa vipi ..hizo lami uchwara zisikutie wenge. .. miradi ya maana ni hiiKuna muda adi naona wivu nyie watu wa kusini mnavyopendelewa kwenye utawala huu.


Tujengo huto huyo kila siku 🤣🤣Kahama sio size ya vitongoji...
A
View attachment 2462278View attachment 2462279View attachment 2462280
Endelea kujifariji.ila ukiona hivyi Huwa unachanganyikiwaZamu yenu ilishapita saizi huko Kanda ya Ziwa tunamalizia miradi aliyoshindwa Rais wenu,Miradi mipya subirieni Tactic tuu..
Tulitengwa Sana saizi tuko na Speaker..
Kwa taarifa yako sio tuu Mbeya na Songwe Bali hata Rukwa Kuna miradi 2 mikubwa ya TanRoads inaendelea nadhani Rais akija kufanya ziara za Katavi,Rukwa na Songwe atakuja kuweka Jiwe la Msingi..
Barabara aliyoizindua juzi kule Kyela Ina mita 11 upana na Ni superpaved ya grade ya Kimataifabado njia za Miguu .Itaunganisha Hadi Songwe kupitia Ileje,yaani itaweza kutoka Malawi Hadi Tunduma bila kupita Mbeya..
Kwa taarifa yako sio tuu hao Manaibu Waziri Bali hata Chief wa TanRods Ni mtu wa Iringa.

Hakika tambeni tu, ila waambie na sisi huku kanda ya ziwa mtukumbuke asee, hizo miradi ya tactic ni za miji kwani inahusiana vipi na miradi ya barabara za wilayani au za kufungua uchumi sehemu husika, me naumia naona kama tumesaulika kabisa.Zamu yenu ilishapita saizi huko Kanda ya Ziwa tunamalizia miradi aliyoshindwa Rais wenu,Miradi mipya subirieni Tactic tuu..
Tulitengwa Sana saizi tuko na Speaker..
Kwa taarifa yako sio tuu Mbeya na Songwe Bali hata Rukwa Kuna miradi 2 mikubwa ya TanRoads inaendelea nadhani Rais akija kufanya ziara za Katavi,Rukwa na Songwe atakuja kuweka Jiwe la Msingi..
Barabara aliyoizindua juzi kule Kyela Ina mita 11 upana na Ni superpaved ya grade ya Kimataifa ❤️❤️ bado njia za Miguu .Itaunganisha Hadi Songwe kupitia Ileje,yaani itaweza kutoka Malawi Hadi Tunduma bila kupita Mbeya..
Kwa taarifa yako sio tuu hao Manaibu Waziri Bali hata Chief wa TanRods Ni mtu wa Iringa.
Wivu 😂😂😂😂Wanapendelewa vipi ..hizo lami uchwara zisikutie wenge. .. miradi ya maana ni hiiView attachment 2462281View attachment 2462282
Mkuu watu wetu wanakosa barabara huko kwimba, magu, sengerema njia ni za ajabu mazao yanasafirishwa vipi, kukiwa na miundombinu mibaya, wewe waziri na sisi kanda ya ziwa tunahitaji barabara bora.Wanapendelewa vipi ..hizo lami uchwara zisikutie wenge. .. miradi ya maana ni hiiView attachment 2462281View attachment 2462282