Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inachekesha sana kuona mtu anapatetea Kahama halafu anapaponda Songea
Ni msenge pekee anaweza fanya hivyo
Ukileta vitu kama hii hapo sombweha ..ndo tutaacha kuicheka songela
Kahama [emoji91][emoji91][emoji116][emoji116]
IMG_20220911_185753_103.jpg
IMG_20220809_163123_606.jpg
IMG_20220817_142446_126.jpg
 
Mara ngapi unaambiwa Kanda ya ziwa imebeba robo ya uchumi wa taifa hili ..
Mara ngapi unasoma na kuambiwa Kanda ya ziwa inatoa asilimia 95 ya dhahabu na madini ya Vito ya nchi hii
Mara ngapi unasoma Kanda ya ziwa ina watu takribani theluthi 1 ya watu wote nchini
Mara ngapi unaambiwa Kanda ya ziwa inatoa asilimia 95 ya export ya samaki nchini
Mara ngapi unaambiwa Kanda ya ziwa ni lango na hub ya nchi zote za Kanda ya ziwa ..
Be careful bro ....
Huo mradi ni kuifungua nchi kwenda kwenye fursa za kiuchumi.
Hiyo reli inakuja kufanya Nini huko? Kubeba samaki au? 🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inachekesha sana kuona mtu anapatetea Kahama halafu anapaponda Songea
Ni msenge pekee anaweza fanya hivyo
We kenge wa nyanda za juu kusini unataka kila mtu apende limji la kifala kama songea.
 
Masikini unahangaika mdogo wangu. ...Kikomo chenu ni huu mradi [emoji116]View attachment 2462592
Kila siku tunakwambia hko sisi hatuna shida nako TAZARA ipo Bomba la mafuta lipo ziwa lipo Sasa Cha kutuzid ni Nini zaidi ya sisi kuwa zidi nyie maana saiz huku lami zimemwagila mzee tayari mikoa inaenda kuwa busy mara mbili yake mfano Barabara ya songea road kutoka makambako hadi msumbiji saiz inakuwa lami yote ambayo ni km 417 sawa na morogoro to makambako mwingiliano unaenda kuongezeka zaidi bado makete had mbeya afu kyera hadi kiwira bandarin Kuna njombe hadi ludewa kwenye madini inaendelea kujengwa bado ya lupembe ko hku soon shida ya Barabara Inakuwa haipo wilayo zote wame link kwa lami mzee na nchi jiran ko saiz mabasi ya kwenda msumbiji na baadhi ya maeneo ya malawi yatakuwa yanapita songea road na siku moja yanatoboa mzee
 
HI
Ukileta vitu kama hii hapo sombweha ..ndo tutaacha kuicheka songela
Kahama [emoji91][emoji91][emoji116][emoji116]View attachment 2462650
FB_IMG_16712002107778897.jpg
View attachment 2462651View attachment 2462652
Hilo jengo mbona Lina wa zuzua Sana nyie watu wa kahama hadi mna his maeneo mengine hivyo vitu havipo mzee project za mtindo huo zipo za kutosha za finishing za kuweka kioo zipo.za kuzidi mzee soon tutakupa brand new project za mfumo huo ndo ujue nyanda za juu kusini saiz pesa inaongea
FB_IMG_16721158131522609.jpg
IMG_20220904_183823_763-scaled.jpg
 
Back
Top Bottom