Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Kama hivyo ni vijiji bas tz hakuna miji,ukitoa dsm,mwanza,arusha na dom.
Musoma na Shinyanga Ni Vijiji vilivyochangamka..

More pics of Songea MC👇

5.jpg
77.jpg
Mbele PANA Photos 020.jpg
Mbele PANA Photos 021.jpg
P1030693.JPG
thumb_279_300x200_0_0_auto.jpg
Screenshot_20221227-070727.png
 
Nimekaa songea miaka mitatu ni mji mbaya sana kumepauka sana na hakuna maendeleo yoyote
Mimi nimesema Miaka 4 Songea Boys,kwa kipindi hicho haikuwa na Maendeleo makubwa Ila Sasa hivi Ina Maendeleo maana Barabara zote za kwenda Mtwara na MbambaBay Ni lami..

Hospitali mpya ya Mkoa inaendelea na ujenzi 👇
1672118807654.jpg
Screenshot_20221227-082643.png
Screenshot_20221227-082624.png
 
Hivyo vituo vya afya vimejengwa nchinzima,viva magufuli, viva samia
 
Hizi project zimekamilika ziwa Nyasa na hii itarahisisha Sana usafirishaji wa makaa ya mawe kwani kwani kutoka ngaka mbinga hadi dsm Ilikuwa mbali sana saizi meli itabeba kutoka mbambabay hadi kiwira na roli kwa Sasa watachukulia kiwira port mbeya na kutawanya nchi za afrika mashariki nahuu mradi unakwenda kuifanya Barabara ya TAZAM HIGHWAY gari ziongezeke mara dufu maana gari zote zilizo kuwa zinapita njia ya songea dar via masasi zitahamia ya TAZAM ambayo kwa km ndo fupi zaidi
Meli+ya+mizigo+ya+MV+Ruvuma+ikishusha+shehena+ya+kwanza+ya+mizigo+katika+bandari+ya+Mbambabay+...jpg
thumb_1148_300x200_0_0_auto.jpg
mqdefault.jpg
 
Back
Top Bottom