The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,965
Mbeya haijawahi wahi kupoa 👇
Mkuu hizo picha ni za zamani sanaMusoma na Shinyanga Ni Vijiji vilivyochangamka..
More pics of Songea MC
View attachment 2461192View attachment 2461193View attachment 2461194View attachment 2461195View attachment 2461196View attachment 2461197View attachment 2461288
Nimekupata boss Ila jitahidini Sasa ku update picha kwenye sites zenu nilikozotoa hizo..Mkuu hizo picha ni za zamani sana
Kama upo Songea toka nje ukapige picha mwenyewe. Songea imebadilika sana
Endeleeni kujazana ujinga na kutiana moyo na mji wa kilugaluga kama songea.Mkuu hizo picha ni za zamani sana
Kama upo Songea toka nje ukapige picha mwenyewe. Songea imebadilika sana
Ila songea imekaa kimjini kuliko jiji la walima viazi la mbeya.Nimekupata boss Ila jitahidini Sasa ku update picha kwenye sites zenu nilikozotoa hizo..
Siko Songea nimetoa picha kwenye sites za watu wa Songea
Mbeya City down town 👇Ila songea imekaa kimjini kuliko jiji la walima viazi la mbeya.
Hii mbeya ndio imesha hapo au kuna mbeya nyingine, hili likijiji halina mvuto ni bora lingebaki kuwa shamba la mpunga.
Mbeya City 👇Hii mbeya ndio imesha hapo au kuna mbeya nyingine, hili likijiji halina mvuto ni bora lingebaki kuwa shamba la mpunga.
Jiji la ghorofa moja, lakini mnaitaji muda na mpango mji wa kujenga cbd yenu.More pics of Mbeya City 👇View attachment 2462162View attachment 2462163View attachment 2462164View attachment 2462165View attachment 2462167View attachment 2462168View attachment 2462169View attachment 2462170View attachment 2462174View attachment 2462175View attachment 2462176View attachment 2462177View attachment 2462178View attachment 2462179
Kinacho fanyika dodoma eneo la mtumba, a,k,a magufuli city kinapaswa kufanyika katika miji mingine,kama vile mbeya,mwanza,morogoro,kahama,arusha,kigoma,mtwala,na miji mingine yote inayokua kwa kas.ilituwe na miji ya kisasa,Jiji la ghorofa moja, lakini mnaitaji muda na mpango mji wa kujenga cbd yenu.
Achana na Mbeya kijana utapasuka bandama bure 👇Jiji la ghorofa moja, lakini mnaitaji muda na mpango mji wa kujenga cbd yenu.
Wewe umeona Kuna shida gani hapo labda unisaidie.Weka ushabiki pembeni hivi huu mji unafaa kuwa jiji na hii cbd ya mbeya niyakuringia kweli, kuwa serious bro!👇👇👇👇👇
View attachment 2462206View attachment 2462210View attachment 2462211
Baki na ushamba wenu kama hata hapo unapaona pako fit.Wewe umeona Kuna shida gani hapo labda unisaidie.
Bro nimekwambia achana na Mbeya kabisa.
Uyole👇View attachment 2462215View attachment 2462216View attachment 2462217View attachment 2462218View attachment 2462219View attachment 2462220
Mbeya ingekuwa ya Washamba usingeona VIP Buses zinamiminika kila siku.Baki na ushamba wenu kama hata hapo unapaona pako fit.
Mbeya ingekuwa ya Washamba usingeona VIP Buses zinamiminika kila siku.
Mnyaka CAG👇