Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 7,149
- 7,966
Hiyo ni meli au kivuko ebu nambie mimi kitombile nimezoea kuona meli huku zikitabaruki huku ziwa victoria leo hii mimi nionee wivu mtumbwi wa wavuvi wa ziwa nyasa.Wivu,husda na nongwa 😂😂
Hiyo ni meli au kivuko ebu nambie mimi kitombile nimezoea kuona meli huku zikitabaruki huku ziwa victoria leo hii mimi nionee wivu mtumbwi wa wavuvi wa ziwa nyasa.Wivu,husda na nongwa 😂😂
Nilistuka nikajua Ni wewe umejinyonga 🏃🏃Hiyo ni meli au kivuko ebu nambie mimi kitombile nimezoea kuona meli huku zikitabaruki huku ziwa victoria leo hii mimi nionee wivu mtumbwi wa wavuvi wa ziwa nyasa.
Huyo baba najua vizuri mwenyeji wa mwanza mwenye asili ya nyanda za juu kusini huko Iringa na mkewe ni nshomile.Nilistuka nikajua Ni wewe umejinyonga 🏃🏃View attachment 2457800
Kumekucha tayari na Mambo inazidi kunoga..👇Ni Wakati wenu mkizubaa msije lalamika baadae.
Is this a village?Songea Bus Terminal 👇View attachment 2458944View attachment 2458945
Is this a village?
Endelea kuumia kwa mtima nyongo na kijiba Cha roho.Zilikuwa ni meli au yalikuwa ni mavyuma chakavu kenge wewe.
Tutolee udaku wako hapaMiji inayo tafutwa mtandaon kwaajili utalii dunian arusha imeshika nafasi ya 8
View attachment 2459831