Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Hii ligi ulianzisha ...lazima unyoshe mkono..mnyama Mpya mjini ..dar mwanza..
Future tOurs coach
20221221_195434.jpg
 
Ndege zishaanza kujaa huku...wenye mkoa wao maskini kuliko yote ( kadri ya report za michongo za serikali inayosema watu wengi wa kagera hawapati hata laki kwa mwezi) lakin wanajaza ndege hadi zinazidiwa....wana majumba makubwa ya 50millions na kuendelea vijijini....watoto wao wanasoma shule nzr asilimia kubwa..hawajawahi omba msaada wa chakula....wanalisha nchi kwa maharage, ndizi, sukari, kahawa, vanilla, viazi nk nk...View attachment 2453543
Utasikia Kusini Kumetengwa 😂😂

This time around Manaibu wa Wizara ya Ujenzi wote wanatoka Songwe na Mbeya so tunatandika lami kila sehemu
 
Back
Top Bottom