Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Makambako saiz ni mwendo wa kujenga mijengo ya juu CBD maduka hayo
IMG_20221224_115821_295~2.jpg
 
Watu wanailaum mbeya!badala wailaum selikal,maana ndiyo yenyejukumu la kubolesha miundombinu pamoja na huduma za jamii kabla ya kuipandisha na baada ya kuipandisha hadhi.ukiangalia mji wa eldoret nchini kenya, utajiuliza why sio jiji, ingikua bongo wangeisha ipa hadhi ya jiji kitambo.
Uache kulaumu Mwanza iliyojaa uswazi uje kulaumu Mbeya? Uko serious?
 
Back
Top Bottom