Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

320014345_1521140678364433_5910846164212578139_n.jpg


319893622_1370572307050481_2366003773268555751_n.jpg

Kakola Shinyanga
 
MAKAMBAKO TC Moja ya out inayotembelewa Sana na watu nyanda za juu kusini hongera kwa mwekezaji aliye buni hichi kitu chenye zaidi ya ekari 10
FB_IMG_16718081492893228.jpg
FB_IMG_16718394361224932.jpg
FB_IMG_16718394285625805.jpg
FB_IMG_16718081297361490.jpg
FB_IMG_16718394627749261.jpg
FB_IMG_16700975869292696.jpg
FB_IMG_16700978983745925.jpg
FB_IMG_16700976444998452.jpg
 
Uwekezaji nje ya mji makambako unaendelea na hichi ni kiwanja kingine kilichopo songea road takriban km kumi toka katikati ya mji
FB_IMG_16710685571148532.jpg

FB_IMG_16710685398166314.jpg
 
Kahama bus terminal loading.......
View attachment 2456297View attachment 2456298View attachment 2456299View attachment 2456300View attachment 2456301View attachment 2456302View attachment 2456303View attachment 2456304View attachment 2456305View attachment 2456306View attachment 2456307View attachment 2456308View attachment 2456309View attachment 2456310View attachment 2456311HView attachment 2456312Hii si miongoni mwa miradi ya tactics inayotekelezwa miji 45 ko Kila mji waliupitia wakauliza kipaumbele Chao mfano njombe tc saizi watajengewa Barabara za lami na soko la viaz ,makambako tc wanajengewa soko kuu ,stendi ya mabus ,garden na Barabara za mitaa ,mafinga tc soko la mbao ,stendi ,na Barabara za mitaa Kila mji umepitiwa na hiyo program
 
Kukubali ukweli ni uungwana mzuri, hata sisi huku mza milimani walichemsha.

Uzuri wa mbeya gharama ya ardhi bado iko chini hata kuhamisha watu ni rahisi kama wakijipanga
 
Vizuri kama wamebadilisha, kiukweli hii sijaipenda
Kama hii ndio final Mchoro Basi no very ugly and poor design 😂😂
Kama hii ndio final Mchoro Basi no very ugly and poor design 😂😂
Kama hii ndio final Mchoro Basi no very ugly and poor design 😂😂
Iyo micholo ndo walitaka kujenga kwa mkopo kutoka TIB magufuli akawakatalia na akapiga malufuku halmashauli kukopa.kama mnakumbuka.tactic project stend kahama micholo ni mingne,na wana stend mbili.
 
Watu wanailaum mbeya!badala wailaum selikal,maana ndiyo yenyejukumu la kubolesha miundombinu pamoja na huduma za jamii kabla ya kuipandisha na baada ya kuipandisha hadhi.ukiangalia mji wa eldoret nchini kenya, utajiuliza why sio jiji, ingikua bongo wangeisha ipa hadhi ya jiji kitambo.
 
Watu wanailaum mbeya!badala wailaum selikal,maana ndiyo yenyejukumu la kubolesha miundombinu pamoja na huduma za jamii kabla ya kuipandisha na baada ya kuipandisha hadhi.ukiangalia mji wa eldoret nchini kenya, utajiuliza why sio jiji, ingikua bongo wangeisha ipa hadhi ya jiji kitambo.
Ukiona hivyo watu wa huko ndio wamelala ...
 
Back
Top Bottom