The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,965
Una Shaka na Hilo? This is Mbeya 👇Hivi aliyeita mbeya green zilikuwa zinamtosha kweli??
Una Shaka na Hilo? This is Mbeya 👇Hivi aliyeita mbeya green zilikuwa zinamtosha kweli??
Kwa hiyo niliyoquote ni wapi, au tukubaliane mbeya ni nusu green na nusu mpaukoUna Shaka na Hilo? This is MbeyaView attachment 2450872View attachment 2450874View attachment 2450875View attachment 2450877View attachment 2450878View attachment 2450879View attachment 2450880View attachment 2450881View attachment 2450882View attachment 2450883View attachment 2450884View attachment 2450885View attachment 2450886View attachment 2450887View attachment 2450888
Hilo Ni eneo jipya la makazi miti sio mingi,hata hivyo greenery ya Mbeya iko kwenye milima inahozunguka Jiji inakuwa Kama vile inaleta shadow.Kwa hiyo niliyoquote ni wapi, au tukubaliane mbeya ni nusu green na nusu mpauko
Hivi hawa bloggers hawaioni mbeya? 🤣 🤣
Of course maana mbeya naijua nimekaa SAE mwaka mzima nimetembea mbeya kwa kiasi chakeHilo Ni eneo jipya la makazi miti sio mingi,hata hivyo greenery ya Mbeya iko kwenye milima inahozunguka Jiji inakuwa Kama vile inaleta shadow.
Mwisho Mbeya sio Bukoba kwamba inapokea mvua karibu mwaka mzima Bali msimu mmja ,kiangaza majani hukauka na miti ku shedoff trees.
Ila ukitaka ukijani mwaka mzima na mvua Hakuna kukata Basi karibu Rungwe hakunaga kiangazi huko.
Kwa hiyo tembea tembea yako Mbeya ukaona sio green au?Of course maana mbeya naijua nimekaa SAE mwaka mzima nimetembea mbeya kwa kiasi chake
Green ya msimu ambayo hata singida wanaweza kuleta picha za Green za msimu hebu toka huko mafichoni uone Green ya mwaka mzimaKwa hiyo tembea tembea yako Mbeya ukaona sio green au?View attachment 2451509View attachment 2451510View attachment 2451511View attachment 2451514
Tuletee green ya msimu huko Mwanza kabla hata ya SingidaGreen ya msimu ambayo hata singida wanaweza kuleta picha za Green za msimu hebu toka huko mafichoni uone Green ya mwaka mzima
Una jipya???Tuletee green ya msimu huko Mwanza kabla hata ya Singida
Unajua maana ya natural greenery? Yaani vinyasi vya kupanda hivyo ndio ulinganishe na Mbeya?
Nenda Chato, ukashangae Chuo cha VetaTuonyeshe Chuo Cha VETA kikali Kama hiki Cha SumbawangaView attachment 2451382View attachment 2451383View attachment 2451384View attachment 2451385View attachment 2451386View attachment 2451387
Video ya Chuo Cha Ufundi na Huduma RukwaView attachment 2451389
Kipo wapi 😆😆😆😆Nenda Chato, ukashangae Chuo cha Veta

) lakin wanajaza ndege hadi zinazidiwa....wana majumba makubwa ya 50millions na kuendelea vijijini....watoto wao wanasoma shule nzr asilimia kubwa..hawajawahi omba msaada wa chakula....wanalisha nchi kwa maharage, ndizi, sukari, kahawa, vanilla, viazi nk nk...Mkuu achana na mareport ya michongo ya Tanzania hii, ukweli unajulikana kamanda kwa ground.Ndege zishaanza kujaa huku...wenye mkoa wao maskini kuliko yote ( kadri ya report za michongo za serikali inayosema watu wengi wa kagera hawapati hata laki kwa mwezi) lakin wanajaza ndege hadi zinazidiwa....wana majumba makubwa ya 50millions na kuendelea vijijini....watoto wao wanasoma shule nzr asilimia kubwa..hawajawahi omba msaada wa chakula....wanalisha nchi kwa maharage, ndizi, sukari, kahawa, vanilla, viazi nk nk...View attachment 2453543
Achana nao...mtu akiamini hizo report zao halafu akafika Bukoba vijijini, muleba, misenyi hadi huko karagwe atajiona mbuzi...Mkuu achana na mareport ya michongo ya Tanzania hii, ukweli unajulikana kamanda kwa ground.
Watoa report huwa wanapenda kuandaa za kukandamiza mikoa ya kanda ya ziwa bila data wala facts, watakuambia ruvuma na lindi na mingine kama hiyo ni mikoa tajiri.Achana nao...mtu akiamini hizo report zao halafu akafika Bukoba vijijini, muleba, misenyi hadi huko karagwe atajiona mbuzi...