Halafu Geita wanalilia kuhunganishwa na Kahama kwa barabara ya lami Wabunge Geita ‘wamlilia’ Rais Samia ujenzi barabara Geita-Kahama Aaiseee 😄 😄 😄 😄 😄 . Kahama ni zaidi ya hizo keep left, na hiyo miundo mbinu itafuata Kahama yenyewe serikali ipende isipende kama vile mabank yanavyopigana vikumbo kutafuta fursa Kahama,

Hiyo ndio picha aliyoweka kwenye uzi wenu wa dar vs nairobi, wakamuuliza wakenya mbona mji hauna ata barabara za kupitisha pikipiki kwahiyo wanajenga wakiwa hawana hitaji la magari wala chombo chochote cha usafiri?