Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

We Hujawahi fika Mwanza Hiyo ni Igogo, pia Bwiru haijawah kuwa na Slums
Na hapa Ni Igogo? ๐Ÿ‘‡
65517643-hills-and-rocks-with-houses-in-mwanza-on-the-shore-of-lake-victoria-tanzania.jpg
mwanza-7.jpg
mwanza-4.jpg
mwanza-8.jpg
62598a2e5059d370489e977f_Hotel-Tilapia-Mwanza-Tanzania-2.jpg
dusk-mwanza-tanzania-night-falls-over-city-north-western-s-second-largest-major-port-lake-vict...jpg
TZ_Mwanza.jpg
 
Bara bara ya Mawe kama Inavyo Onekana katika Eneo la Igogo Jiji Mwanza..JPG

Huko milimani wanajengewa barabara za mawe kama hii ya igogo.
Wamepelekewa maji na umeme, wanajengewa vyoo vya kisasa kila familia na kuungiwa maji,
Sasa hivi kwa sababu wana maji wanahimizwa kupanda miti.
Na hizo ni juhudi za mwauwasa.

Jiji nao wana mpango wa kujenga maghorofa ili hizo familia kwa baadae zihamishwe.

Na kwa kadri Bugando inavyokua inaimeza igogo taratibu.

At least mwanza we are doing something tofauti na nsalaga.
 
Iringa ..watu wa mbeya juu ,hamuiependi iringa ..koz inawazidi vingi..leta CBD ya kuzid hapa we nsalaga boy
20221212_214840.jpg
 
Back
Top Bottom