Kahama VS Njombe/Mafinga

Udumavu uliosababishwa na lishe hafifu ilikuathiri toka utotoni, wenzako wanaleta picha real ww unaleta michoro.
 
Kwny uchaguzi wa ccm juz wajumbe Zaid ya asilimia 75 wanatoka Kanda ya ziwa hyo ni indication kuwa Kanda ya ziwa inatoa viongozi bright na ndio inaamua mustakabali wa nchi
 
Kwny uchaguzi wa ccm juz wajumbe Zaid ya asilimia 75 wanatoka Kanda ya ziwa hyo ni indication kuwa Kanda ya ziwa inatoa viongozi bright na ndio inaamua mustakabali wa nchi
Achana na hao chawa wa sisiemu(ccm) hawatakuwa na mchango wowote kwenye maendeleo ya kanda ya ziwa nao wanapigania ugali wa familia zao, tuendelee kupambana kwa maendeleo ya vizazi vyetu vijavyo🀝🀝
 
Hauna kitu chochote hapo hizo ghorofa mbili unazorudia rudia mbona zinakuzuzua kuna nini hapo piga picha moja eneo zima sio nyumb moja moja, ila nashukuru kwasasa umeelewa kupost picha baada ya mkenya wa uzi wenu wa dar vs nairobi kukufundisha.
Kweli yule mkenya katu saidia sana
 
Hapo mjini kati pamejaa makazi ya watu tena makazi duni katikati ya mji, na hamna commercial buildings, hamna hotels hamna kila kitu zaidi ya soko tu haya buana ila mlishazoea maisha yenu nyie watu wa green city.
Hujawahi ishiwa excuses 😁😁.

Barabara zetu' huku Mbeya πŸ‘‡
 
We ndo hujui kitu .... southern eastern inahusisha mikoa ya mashariki kusini...hyo ruvuma Iko mashariki Gani ...
No excuse...songea ni nyanda za juu kusini
Ruvuma ni Kanda ya Kusini, yaani kundi moja na Lindi na Mtwara, kiufupi kanda ya Kusini ina mikoa mitatu
Nyanda za juu Kusini ina Mbeya, Njombe, Iringa, Songwe na Rukwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…