Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,310
- 5,968
Naona mashamba tu .Vichekesho gani Sasa hapo? Hapo Kuna ushua gani wakati Ni mtaa tuu wa kawaida Jijini Mbeya?
Ingekuwa Ni Mwanza ndio pangekuwa pa kishua Sasa [emoji16][emoji16].
Mbeya Ni next level wewe[emoji116]