Ninavojua Mimi walisha sema nyanda za juu kusini mkoa utako tolewa ni rukwa utaenda Kanda ya magharibina ramani yake ndo HiYo na baada ya kutoa hu mkoa ikanekana mbeya sio centre Tena ya nyanda za juu kusini kijiografia inaonekana ni mkoa wa njombe walikubaliana Kuna baadhi ya miradi ya Kanda itakuwa inajengwa mkoa wa njombe ramani hii hapo chini
Hivi kwa Nini Mkoa wa Iringa wasiuhamishie Kanda ya Kati badala ya Nyanda za Juu Kusini?
Nasema hivi kwa sababu kijiografia uko karibu zaidi na D
odoma kuliko Mbeya..
Nyanda za Juu Kusini tubakie na Mikoa ya Ruvuma , Njombe,Mbeya,Songwe na Rukwa maana hata kimuingiliano iko integrated zaidi.👇