instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,544
- 19,490
Nan kakwambia hapo ni nje ya mji? Hapo ni karibu kabisa na bandari ya Bukoba ndo pawe nje ya mji...sema hilo eneo ni la viwanda...kuna viwanda vikubwa bunena zaidi ya vitano...Hako Ka Bukoba kweli Ni kakijiji kalikochangamka yaani 2km uko nje ya Mji?
Kiwanda cha kahawa kikubwa kuliko vyote tz cha Tanica...
Kiwanda cha kahawa Bukop
Kiwanda cha kusindika kahawa amir hamza
Kiwanda cha majani ya chai YetuChai
Kiwanda cha maji bunena
Kiwanda cha maji asilia.....
Yes Bukoba sio mji mkubwa sana...lakin unajitosheleza kila kitu...isipokuwa stendi tu ya mabasi na soko la kisasa...
Lakin mji una shule za kutosha, maji ya bomba 98%, hospital nzr zaidi ya tano, uwanja wa ndege mzr tu, bandari kubwa.., barabara za lami karibu mitaa yote, na siku hiz barabara zake nyingi zina taa za barabarani...
Mji sio lazima usambae ovyo ovyo kama mbeya ilivyo kijiji kikubwa
