Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

[mention]The Sunk Cost Fallacy 2 [/mention] uzuri wako hua unajua kuwabana wapinzani wako wakikuacha kwenye majengo unawavuta hadi kwenye mabasi huko hawachomoki kabisa
 
Fala sana wewe ngoja wakuache upambane mwenyewe na miji yako isiyokuwa na mielekeo, muda wote unapost mabasi tu🤣🤣🤣🤣🤣
Mimi siwezi kuwa mpumbavu Kama munjombe na na instanbul wanaojivunia Mali za watu Bali nitajivunia Huduma wanazotoa maana ndio nanufaika nazo umeelewa wewe tumbili wa Saanane 🤪🤪

Kwenye kupambana Mwenyewe Sasa ndio kazi yangu,kwangu mjadala Ni sehemu ya burudani nimekuwa nikipambana hivyo kila jukwaa nililopo hata lile la Arusha mlilokimbia kwa aibu 😂😂.

Mimi Kama jeshi la mtu mmja Nina nondo za kutosha kuwanyoosha nyie Washamba wa Kanda ya Ziwa 🏃🏃.
 
[mention]The Sunk Cost Fallacy 2 [/mention] uzuri wako hua unajua kuwabana wapinzani wako wakikuacha kwenye majengo unawavuta hadi kwenye mabasi huko hawachomoki kabisa
Nawakaba kote kote Hakuna kupumua maana huwa wanatafuta excuse Kama zote..

Watu wa Lake zone kuteseka kuko pale pale Kama Senegal vs England 😂😂.

New babies in Town Kilimanjaro Express is back again na ameingiza chuma mpya..

Usicheze na Nyaya za Juu Kusini na Mbeya in particular👇
 
Attachments

  • 20221204_132517.jpg
    20221204_132517.jpg
    117.8 KB · Views: 6
  • 20221204_133321.jpg
    20221204_133321.jpg
    114.9 KB · Views: 5
Mimi siwezi kuwa mpumbavu Kama munjombe na na instanbul wanaojivunia Mali za watu Bali nitajivunia Huduma wanazotoa maana ndio nanufaika nazo tumbili wa Saanane wewe 🤪🤪

Kwenye kupambana Mwenyewe Sasa ndio kazi yangu,kwangu mjadala Ni sehemu ya burudani nimekuwa nikipambana hivyo kila jukwaa nililopo hata lile la Arusha mlilokimbia kwa aibu 😂😂.

Mimi Kama jeshi la mtu mmja Nina nondo za kutosha kuwanyoosha nyie Washamba wa Kanda ya Ziwa 🏃🏃.
Lile la arusha wewe mwenyewe ulitoka nduki kwa kupewa za uso na mikdde 😝😝😝
 
Aisee Nina wenzangu Mimi humu jukwaani kweli? Wenzangu Ni wale naoishi nao acha upumbavu..

Any stupid fork hawezi kuwa Mwenzangu na Mimi siko hapa kutafuta wafuasi,ukikereka quit au pita kushoto sikualika mtu humu na hii sio mada Kama ile ya Jamii challenge kwamba natafuta wapiga kura..

Mimi ndio nilianzisha hii Ligi wamekuja wengi wametoka na wengine watakuja nk nk so tueipangiane maisha kenge nyie.
Sio kwa hili povu...

Hebu Tazama hii skyline kwanza upunguze maumivu....

Bukoba Downtown at night...
Screenshot_20221120-160501.jpg
 
Back
Top Bottom