Pia sensa imeongea kila kitu, kuhusu makazi, huduma za afya, huduma za elimu n.k Mwanza is ahead.Umetumia kigezo Gani kupima quality of lifeau ndio Ile ya GDP/population...this is pathetic...
Mngekuwa na quality of life msingekuwa two digit kwenye mapato ya Kodi ...ukiona mji haumo hata top ten ya mapato Tanzania ujue level ya individual investment na formal sector Iko chini....then keep in mind MWanza growth quantity yake ni bilioni 800 Hadi trillion 1 Kwa mwaka .wakati mbeya ni bilion 500 Kwa mwaka ...ongezeni growth rate kwanza ndio mfikirie kuipita mwanza.
Kwa hiyo hiyo HDI itapatikana bila kuwa na Per Capita Kubwa? Kiazi wewe..Kila siku nakuambia hujawahi Kuwa na logic hata siku moja ...GDP per Capita sio quality of life ...GDP per Capital ni wastani wa Pato la mwananchi Kwa mwaka Kwa kutumia thamani ya uchumi wa mkoa kugawia idadi ya watu....maana yake mikoa yenye idadi kubwa ya watu inakuwa na per Capita ndogo...hii ni sawa na kusema GDP per Capita ya china ni US dollar 10000 wakati GDP per Capita ya Spain 30000 us dollar.....
Kipimo kinachotumika kuidentify quality of life ya eneo ni HDI (human development index) ..sasa ili tuprove mbeya mna quality of life leta figure za HDI Kwa Kila mkoa ...sio porojo tu na uchumi wako wa kijiweni
Kingine huwezi kupima quality of life Kwa kuangalia slums,, kama ni hivyo bas dar haina quality of life kuzidi mbeya na ukikubali hii scenario maana yake takwimu zako za GDP per Capita zinakuwa hazina maana Kwa sababu per Capita dar is ahead of mbeya
Ona Sasa ulivyokuwa mpumbavu na kutafuta excuses za kijinga.Leta mapato ya NBS na siyo hiyo ya tunduma peke yake, na hiyo ni ya mirzi mingap?
Kahama sio Mji Ni dampo.Kahama hakuna slum katikati ya mji kama huko mbeya na njombe
Je mbeya ndio top ten ya mapato ya TRA?Ona Sasa ulivyokuwa mpumbavu na kutafuta excuses za kijinga.
Sasa uzidiwe mapato ya Halmashauri ndio utakuwa na mapato Mengi hata kwa Takwimu za NBS?
Sina mda wa kubishana na Jambo Liko obvious Mkoa wa Songwe uko top 10 ya mapato ya TRA na 3/4 yanatokea hapo hapo Tunduma,Shinyanga hata haipo Sasa mtatuzidi vipi ikiwa takwimu zote hizo mumepigwa given your large number of people in your region and Kahama MC in particular.
Naona macho yako yanaona kinyume we hizo slum unaona ni mpangalio mzuri wa makazi, slum tupu hapo hakuna well organized neighbourhoodKahama sio Mji Ni dampo.
Mbeya hii hapa Onyesha slum👇
Utakuwa nashida sehemu.Kwa hiyo hiyo HDI itapatikana bila kuwa na Per Capita Kubwa? Kiazi wewe..
Kwa kutumia Mfano tuu unaoutoa Ni wazi uko less informed na Sina haha ya kurudia takwimu nilishaleta humu..
Mikoa inayoongoza kwa Per Capita income kubwa hivyo hivyo Ina HDI kubwa ,na Mikoa hiyo Ni
Dar,
Kilimanjaro,
Iringa,
Arusha,
Njombe.
Narudia Tena kwa metric yeyote ya ubora wa maisha,Mwanza mnajambiwa na Mbeya by far,umeelewa wewe bogus?
Wewe hoja za kiuchumi huziwezi ,endelea kujadili mipasho ndio unaweza..Utakuwa nashida sehemu.
Tunajadili hoja ya Tunduma,Mbeya iko namba 12 sio mbali na top 10.Je mbeya ndio top ten ya mapato ya TRA?
Tunduma na yenyewe ni mkoa?Tunajadili hoja ya Tunduma,Mbeya iko namba 12 sio mbali na top 10.
Usipende kudandia mada utakalishwa kwenye huu waya 👇Tunduma na yenyewe ni mkoa?
Hizi takwimu ni za enzi za mwinyi, barabara zote hizo zina lamiA ngalia hata Barabara za lami mlivochelewa kupata
View attachment 2433096
Hakuna mtu Makini anaweza pay attention kwa huyo comedian wako
Hapa sio Isamilo...Kwa hiyo wewe kwako hapa Kuna Nini Kama sio uswazi? Hii sio Isamilo? Umeanza kukana kwenu baada ya kuona mauchafu?
Operation zishaanza kitambo tu ... mgodi wanachimba muda tu. .KAHAMA weeeeeehhhhh
Inaondoka Buzwagi inakuja Tembo Nickel soon mitambo ya kuchenjua madini itaanza kufungwa baada ya masuala la assessment kukamilika, na sasa wapo kwenye hatua environmental/ social impact assessment ya mradi. Full oparation ikianza kuna uwezekano wa kuongeza eneo la mradi Kahama.
Matangazo kama yote kwenye local radio na TBC FM kuhamasisha ushiriki wa wananchi.
Hii ni processing plant, kwa ajili ya Nickel ya Ngara / Kabanga. Inakuwa installed eneo la BuzwagiOperation zishaanza kitambo tu ... mgodi wanachimba muda tu. .
Dah kwa hiyo mapato ya Ngara kagera...yanaenda kuhesabiwa kahama shinyanga?...Hii ni processing plant, kwa ajili ya Nickel ya Ngara / Kabanga. Inakuwa installed eneo la Buzwagi