Tanzania ni yetu sote ko ofisi inakaa popoteMbona office zao zipo dar es salaam na sio njombe [emoji14]?
Tanzania ni yetu sote ko ofisi inakaa popoteMbona office zao zipo dar es salaam na sio njombe [emoji14]?
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji373][emoji373][emoji27][emoji27][emoji27]aibu .. japanese brand imekuwa wakinga Tena [emoji14][emoji2923][emoji16]
[emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji16][emoji16][emoji16]
HahA kama ulikuwa hujui njoo makambako tukuonyeshe hadi kwao usikalili mzee[emoji706][emoji706][emoji706][emoji373][emoji373][emoji27][emoji27][emoji27]aibu .. japanese brand imekuwa wakinga Tena [emoji14][emoji2923][emoji16]
[emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji16][emoji16][emoji16]
Ukitaka kujua zaidi njoo uone na investment zao makambako na yard Yao tunduma swala la kibiashara watu wako kimataifa zaidi sio huko kajenga jengo moja kelele Kanda nzima[emoji706][emoji706][emoji706][emoji373][emoji373][emoji27][emoji27][emoji27]aibu .. japanese brand imekuwa wakinga Tena [emoji14][emoji2923][emoji16]
Waokote wenzio .sio sisi....be forward ni wajapan ,kodtek ni wachina....hayo maduka ya huko ni mawakala tu ...acha ubena bas[emoji16][emoji16][emoji16]Ukitaka kujua zaidi njoo uone na investment zao makambako na yard Yao tunduma swala la kibiashara watu wako kimataifa zaidi sio huko kajenga jengo moja kelele Kanda nzima
Wewe ndo huelewi chochote ukiona kampuni unajua ya wazungu tu kwenye swala la kibiashara tupo mbali mzeeWaokote wenzio .sio sisi....be forward ni wajapan ,kodtek ni wachina....hayo maduka ya huko ni mawakala tu ...acha ubena bas[emoji16][emoji16][emoji16]
Waokote wenzio .sio sisi....be forward ni wajapan ,kodtek ni wachina....hayo maduka ya huko ni mawakala tu ...acha ubena bas[emoji16][emoji16][emoji16
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] acheni kuumizwa na maendeleo ya nchi bwana, sasa hivi unapigwa mwingi kwa mwendo wa Kasia na siyo boti ya Injini...inchi hii [emoji3][emoji3][emoji3]Haters hii inawahusu [emoji116]
Kuna watu taarifa kama hizi huwa hawataki kuzielewa au kuziamini, chuki zao huanzia hapa [emoji846][emoji846]Nyie bado mnajenga mijini tu[emoji3]...
Kagera tupo vijijini...siku hiz maendeleo yanafanyika kimya kimya......
Cheki barabara za vijijini huko Rubya muleba kagera 90km from Bukoba....
Wilaya muleba...Tarafa moja tu ya kimwani ndo barabara zake ni changamoto ingawa barabara kuu za mwanza na ile biharamulo zinapita huko...
Lakin Tarafa nzima ya kamachumu na vijiji vyake kuna lami....
Tarafa ya nshamba na vijiji vyake kuna lami
Tarafa ya Izigo vijiji vyake vinalami
Tarafa ya muleba hio ndo kabisa...
NB..wilaya ya muleba pekee ina watu sawa na mkoa mzima wa njombeView attachment 2427763
Hii huwa naielewa sana imetulia hatari [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Kitulo National Park almaarufu Bustani ya Mungu [emoji116]
Umeishiwa vibaya Sana 😜😜.Kuanzia leo Kijiji cha Mbeya itabattle na Ilemela, Njombe bush itabattle na Nyegezi full stop