intelligent man
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 706
- 1,126
Sasa hilo soko litazid soko kuu linalojengwa mwanza Lina parking za magari 400 na sehemu za watoto kucheza na swimming poolWivu 😂😂.
Mbeya is something else 👇
Sasa hilo soko litazid soko kuu linalojengwa mwanza Lina parking za magari 400 na sehemu za watoto kucheza na swimming poolWivu 😂😂.
Mbeya is something else 👇
Ni mengi sanaYako wapi hayo mengi?😁😁
Kumbe ndio linajengwa 😜😜😜😜.Sasa hilo soko litazid soko kuu linalojengwa mwanza Lina parking za magari 400 na sehemu za watoto kucheza na swimming pool
hamuwez kupewa masoko 2 kwny tactics hzo ni propaganda zako tuKumbe ndio linajengwa 😜😜😜😜.
Na Mbeya tunajenga Masoko 2 kwenye tactic ,una jipya?
Wapiga picha wa Mbeya wanazungua Sana,picha za kwenye mtanddao Ni zile zile haafanyi updates sijui kwa Nini..
Mwisho laiti Kama tungepata picha za kutoka Meta Hadi Mwanjelwa zingekuwa safi Sana maana zinge cover eneo lote la Forest mpya na Zamani Kuna magorofa Mengi Sana pande sote ingetoa view nzuri Sana.
Kwani miradi ya Tactic Nani anapendekeza Kama sio Halmashauri yenyewe? Unapunguza Barabara unapeleka kwenye Masoko.hamuwez kupewa masoko 2 kwny tactics hzo ni propaganda zako tu
Kwan nan ambae hana masoko tuna soko la kirumba pamoja na mkuyuni yapo kwny tactics 😄😄😄😄Kwani miradi ya Tactic Nani anapendekeza Kama sio Halmashauri yenyewe? Unapunguza Barabara unapeleka kwenye Masoko.
Tuna soko jipya la Sido na soko la Machinga Airport ya Zamani itakapojengwa stand kuu mpya..
Subiria mwezi wa pili renders na project zitakapoanza ndio utajua mbivu na mbichi.
Usifananishe buzuruga na huo uchafuBuzuruga is better than iy0 Usweke city
Sasa wewe tumbili ulipokuwa unabisha eti hatuwezi kupata Masoko 2 via tactic 🤪🤪 ,achaga uhayawani.Kwan nan ambae hana masoko tuna soko la kirumba pamoja na mkuyuni yapo kwny tactics 😄😄😄😄
Usifananishe buzuruga na huo uchafu
Nimekwambia Hakuna kitu mnafanya hakitafabyika Mbeya..Tunajenga machinga complex kubwa itakayochukua machinga 5000 eneo la mchafukuoga upo?
UNimekwambia Hakuna kitu mnafanya hakitafabyika Mbeya..
Soko jipya la Old Airport Ni Machinga Complex na pembeni take Stand kuu ya Mabasi Mambo itakuwa mtelezo..
Afu Masoko ya Machinga sio ya kulingia yanajengwa na Pesa za ndani Tunduma TC na Iringa MC Kama lile la Dom ila this time around yatakuwa mazuri na kucapitalise mapungufu ya ramani ya Dom.
Nimekwambia Hakuna kitu mnafanya hakitafabyika Mbeya..
Soko jipya la Old Airport Ni Machinga Complex na pembeni take Stand kuu ya Mabasi Mambo itakuwa mtelezo..
Afu Masoko ya Machinga sio ya kulingia yanajengwa na Pesa za ndani Tunduma TC na Iringa MC Kama lile la Dom ila this time around yatakuwa mazuri na kucapitalise mapungufu ya ramani ya Dom.
👇Nyie mnasubir sisi mkandarasi yupo site
Mwanza mnatia aibu Sana ,ukiacha hayo mauswazi,hii picha yako Ina tofauti gani na hapa Mafiat? 👇Nyasa .ni mbeya...
Leta site za mbeya jiji ....ukitaka hivyo mi nitakuletea Serengeti national park na nikasema Mwanza
Ukipata barabara smart kama hii nitagView attachment 2428189View attachment 2428190
Hivi hicho Ni lini hicho ki Manispaa chenu uchwara kitakuwa na lami? Naona mavumbi tuu kila sehemu..
Matema Beach resorts Lake Nyasa deserves more than this,ilitakiwa tuwe tunashindana na Zanzibar kwenye Utalii wa Beaches hasa za Ziwa Nyasa..
Njooni Mbeya kutoa stress nyie washamba 👇
Ni kweli hawakupi masoko au stendi mbili labda iwe awamu nyingine ya tactic sio ndani ya awamu moja.Sasa wewe tumbili ulipokuwa unabisha eti hatuwezi kupata Masoko 2 via tactic 🤪🤪 ,achaga uhayawani.
Huu ubishi mnaleta kwa faida ya Nani? Basi tusubirie wakati nitaleta humuNi kweli hawakupi masoko au stendi mbili labda iwe awamu nyingine ya tactic sio ndani ya awamu moja.
Kwa mwanza kuwa ni miradi miwili inayofanana kama masoko au stendi mbili ni kwa sababu kuna halmashauri mbili kila moja ina miradi yake tofauti.