Busan
JF-Expert Member
- Aug 19, 2022
- 644
- 736
Yaan CBD ya Mbeya ni BuzurugaWivu 😂😂.
Mbeya is something else 👇
Yaan CBD ya Mbeya ni BuzurugaWivu 😂😂.
Mbeya is something else 👇
Kmbe ww sio wa Mbeya nilisahau kuwa unatokea Bush NjombeKumbe ndio linajengwa 😜😜😜😜.
Na Mbeya tunajenga Masoko 2 kwenye tactic ,una jipya?
Wapiga picha wa Mbeya wanazungua Sana,picha za kwenye mtanddao Ni zile zile haafanyi updates sijui kwa Nini..
Mwisho laiti Kama tungepata picha za kutoka Meta Hadi Mwanjelwa zingekuwa safi Sana maana zinge cover eneo lote la Forest mpya na Zamani Kuna magorofa Mengi Sana pande sote ingetoa view nzuri Sana.
Sikiliza hapa chini wewe jinga..Kmbe ww sio wa Mbeya nilisahau kuwa unatokea Bush Njombe
Mbeya huwa haina mda wa kuhangaika na vitu vidogo vidogo Kama hivyo..Maeneo ya uyole stendi Mpya ya nanenane...[emoji116][emoji116]... mwanza mkitapata suburbs Kali kama hii mnitagView attachment 2430397
Umeanza mzaha Sasa,vijumba Kama hivyo ndio vya kulingia kweli? Kuna Nini Cha ajabu hapo? Si Bora hata Itigi?20km from City centre Usagara,Mwanza
View attachment 2430741View attachment 2430742View attachment 2430743
Apa kunann zaidi ya vjumba uchwara then usicompare izo Nyumba za Usagara na ayo magofu ya CBD ya MbeyaMbeya haijawahi kuwa na shughuli ndogo..
Drone footage video ,walau huyu kajitahidi ku cover maeneo muhimu👇
Huna hojaApa kunann zaidi ya vjumba uchwara then usicompare izo Nyumba za Usagara na ayo magofu ya CBD ya Mbeya
Ww ndo Huna hoja kwa mtu mwenye uelewa na miji hawezi sema iyo ni CBDHuna hoja
Nimekwambia Mara nyingi kwamba Mbeya hatuna Jambo dogo..Ww ndo Huna hoja kwa mtu mwenye uelewa na miji hawezi sema iyo ni CBD
😁😁Walitumia kigezo hiki hapa 👇Wadau huko twitani[emoji16][emoji16]View attachment 2430886
SGR inakuuma sana [emoji16][emoji14][emoji14][emoji14].acha ushamba bas[emoji16][emoji16]Walitumia kigezo hiki hapa [emoji116]
Kuliko hayo mapipa ya lami dizaini ya Ngorika Mara Mia Mbeya tulabakia na huu unyama wetu..👇SGR inakuuma sana [emoji16][emoji14][emoji14][emoji14].acha ushamba basView attachment 2430950View attachment 2430951
Unaleta Hadithi za kufikirika kwataarifa yako Usagara ni sehemu ya Master plan 2015-35 ko ni part ya Mwanza cityUmeanza mzaha Sasa,vijumba Kama hivyo ndio vya kulingia kweli? Kuna Nini Cha ajabu hapo? Si Bora hata Itigi?
Mwisho Usagara iko Misungwi.
Mbona office zao zipo dar es salaam na sio njombe [emoji14]?Hawa ndo wakinga kutoka mkoa wa njombe hawajai kukosea kwenye swala la kibiashara
View attachment 2431066View attachment 2431067View attachment 2431068View attachment 2431069