Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Hiv vitu sio vya kusifia hata kidogo...hapo mnakuza uchumi wa china na watu wake kwa kufanya huo uchuuzi...

Ningewaona wamaana sana kama wangefungua viwanda vinavyotumia malighafi za hapa nchini..na nyie mkielekea huko china mnaenda na kitu cha kuwauzia..sio mnaenda mikono mitupu halafu mnarudi na bidhaa zao...ambazo nazo nyingi ni feki...

Kwa kuangalia maendeleo binafsi hao watu wachache wataonekana matajiri kwa huo uchuuzi...lakin kwa maendeleo ya jumla tutabaki maskini tu miaka yote...

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Kwenye swala la biashara mtu hapangiwi mzee ni soko huria ndo maana ukija mikoa ya nyanda za juu kusini kwa Sasa utakutana na viwanda vingi vya wachina na wakenya hasa maeneo haya mafinga ,makambako na mtwango viwanda vinaanzishwa Kila siku
 
Maabara ya Utafiti ya Chuo Kikuu Huria OUT kujengwa Njombe..

Makao Makuu ya Kanda zote watajenga Maabara kwa Nini wameruka Mbeya?👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221130-071308.png
    Screenshot_20221130-071308.png
    176.7 KB · Views: 10
Bwege leta VETA ya wilaya ya billion 4 kutoka huko mpauko zone
Veta ya Wilaya ya Mbarali Ni sawa na Veta ya Mkoa wa Simiyu 😁😁.

Picha zinaongea zenyewe 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221130-072100.png
    Screenshot_20221130-072100.png
    173.2 KB · Views: 10
  • Screenshot_20221130-072108.png
    Screenshot_20221130-072108.png
    173 KB · Views: 10
  • Screenshot_20221130-071743.png
    Screenshot_20221130-071743.png
    179.6 KB · Views: 10
Sio maneno yangu Bali Ni ya wadau wakiizungumzia Njombe.

Njumbe hapigwi mawe👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221130-065008.png
    Screenshot_20221130-065008.png
    212.7 KB · Views: 9
  • Screenshot_20221130-064938.png
    Screenshot_20221130-064938.png
    19.8 KB · Views: 9
Umeishiwa vibaya Sana 😜😜.
Mwanza sii tuu haiwezi ku battle na Mbeya Bali inatia aibu..

Tactic km 23 za lami,
Tactic Stand kuu ya Mikoani
Tactic Masoko 2

Tamisemi km 17 za Lami.

TanRoads km 32 Dual Carriage Nsalaga to Airport with flyover na daraja la waenda kwa Miguu.

TanRoads km 45 za Mbeya Bypass
Hayo maneno yako nayahifadhi coz unaelewa jinsi Ilemela inavoipiga Mbeya mbele na Nyuma
 
Umeishiwa vibaya Sana 😜😜.
Mwanza sii tuu haiwezi ku battle na Mbeya Bali inatia aibu..

Tactic km 23 za lami,
Tactic Stand kuu ya Mikoani
Tactic Masoko 2

Tamisemi km 17 za Lami.

TanRoads km 32 Dual Carriage Nsalaga to Airport with flyover na daraja la waenda kwa Miguu.

TanRoads km 45 za Mbeya Bypass
Sindano imepenya yaani Mbeya level ake Ilemela, Njombe yote ni sawa na Nyegezi
 
Umeishiwa vibaya Sana .
Mwanza sii tuu haiwezi ku battle na Mbeya Bali inatia aibu..

Tactic km 23 za lami,
Tactic Stand kuu ya Mikoani
Tactic Masoko 2

Tamisemi km 17 za Lami.

TanRoads km 32 Dual Carriage Nsalaga to Airport with flyover na daraja la waenda kwa Miguu.

TanRoads km 45 za Mbeya Bypass
Maneno ya serikali haya
JamiiForums-1918857461.jpg
 
Madishi hayo ndio mnaita station? .

Tuna reli kitambo sana
Toa Ushamba hapa ....vitu kwako ni mashikolo mageni .... mwanza sio size yenu in everything.....
Proposed Mwanza university of science and healthy studies ...

Endeleeni kusubiri matawi ya udsm yawajengee vyuo .huku ni private economy Kama US vile
IMG-20221122-WA0001.jpg
 
Toa Ushamba hapa ....vitu kwako ni mashikolo mageni .... mwanza sio size yenu in everything.....
Proposed Mwanza university of science and healthy studies ...

Endeleeni kusubiri matawi ya udsm yawajengee vyuo .huku ni private economy Kama US vileView attachment 2431716
Makaratasi as usual 😁😁😁😁😁.

Bora na Kigoma 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221130-071605.png
    Screenshot_20221130-071605.png
    198.8 KB · Views: 9

Attachments

  • Screenshot_20221130-154410.png
    Screenshot_20221130-154410.png
    167.7 KB · Views: 9
  • 20221130_154320.jpg
    20221130_154320.jpg
    38.4 KB · Views: 10
  • 20221130_153547.jpg
    20221130_153547.jpg
    124.2 KB · Views: 11
  • 20221201_063508.jpg
    20221201_063508.jpg
    100.5 KB · Views: 10
  • 20221201_062649.jpg
    20221201_062649.jpg
    38.4 KB · Views: 10
Back
Top Bottom