Haya bhana kwa akili hizi kama zako acha nchi jirani zituache thousands miles, ila jiji la mbeya lina mpangilio mzuri sanw kuliko majiji yote ya Tanzania pia ujenzi wa nyumba zao katikati ya cbd ipo njema, kwa kweli kazi iendelee.Maneno meengi.
Weka hapa ramani ya Jiji la Mwanza Kama nilivyoweka ili tuone wapi Kiko disorganised au unaona aibu ya zile dream houses zenu? ππ.
Lina mpangilio kuliko Mwanza usitafute pa kutokea ππ.Haya bhana kwa akili hizi kama zako acha nchi jirani zituache thousands miles, ila jiji la mbeya lina mpangilio mzuri sanw kuliko majiji yote ya Tanzania pia ujenzi wa nyumba zao katikati ya cbd ipo njema, kwa kweli kazi iendelee.
Dodoma ni jiji lenye mpangilio kuliko yoteπππ wakati ni mkoa wa mwisho kwa anuani za makazi, endelea kujifaraji.Lina mpangilio kuliko Mwanza usitafute pa kutokea ππ.
Jiji lenye mpangilio mzuri kuliko yote Ni Dom na Tanga usijitoe ufahamu.
Ata kahama wangekuwa na viwanda vingi tu kama zao la parachichi lingekuwa linalimwa huko, punguza mihemko, na jaribu kuficha ujinga ata mara moja, mbona singida kuna viwanda vingi vya mafuta ya alzeti, mbona mwanza kuna viwanda vingi tu vya mafuta ya pamba.Viwanda 5 vya kuchakata mafuta ya Parachichi for exports vinapatikana kwenye Mikoa ifuatayo
1.Mbeya =2,
2.Njomne=1
3.Iringa=1,
4.Songwe=1.
Hapa lazima mpite kimya kimya ππ
Songoro anafanya uwekezaji Kyela na MbambaBayMwanza wanaviwanda vya kutengeneza meli na boat je nyie mnavyo? Vitu vingine vingine vinatokea kwasababu ya availability ya resources, hii ndio kama ile ile hali hali ya kuwalingishia Nairobi madaraja wakati hawana bahari wala ziwa.
Hizo ni story za street tu hakuna ishu kama hiyo.Songoro anafanya uwekezaji Kyela na MbambaBay
Wivu π€Έπ€ΈHizo ni story za street tu hakuna ishu kama hiyo.
Siwezi kuonea wivu miji ya ajabu kama hiyo, tatizo unapenda sana siasa kuliko uhalisia wa mambo.Wivu π€Έπ€Έ
ππππ.Siwezi kuonea wivu miji ya ajabu kama hiyo, tatizo unapenda sana siasa kuliko uhalisia wa mambo.
Ulishaona chaka lako la kujifichia ni kupost mabasi tuπ π π , huko nyanda za juu hakuna vitu vya kuweka zaidi ya mabasi?ππππ.
Mbeya itakupasua bandama wewe kima π
Bus gani nimepost hapo?Ulishaona chaka lako la kujifichia ni kupost mabasi tuπ π π , huko nyanda za juu hakuna vitu vya kuweka zaidi ya mabasi?
Wera wera vyuma kutoka Nyumbani ambako nyie mnaita Mbeya πAtakuja na Mabasi tu π π π π
Ujumbe wako huu hapa πSafi kabisa wamejitahidi sana kubana matumizi pesa iliyotumika ni ndogo kulingana na kazi kubwa iliyofanyika. Anaupiga mwingi sana
Umeanza kuposti maporiππππBus gani nimepost hapo?
Mbeya City piga huyu tumbili arudi Saanane πππ
Kiukweli umeishiwa Mara Kuna mavumbi Mara mapori Sasa mbona unapanua kila sehemu? ππ.Umeanza kuposti maporiππππ
Huu unakuhusu wewe maana anasema anayeumia kwa kuupiga mwingi ni wewe, mimi nimepongeza kwa kuupiga mwingi kwa jitihada za kujenga daraja kwa bei ndogo ila limetoka kwa viwango vya kimataifa mpaka likazinduliwa kwa camera ili wananchi tuone jitihada zilizofanyikaUjumbe wako huu hapa