The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,965
Dar Ina CBD ngapi?Kuna sank farasi huwa hanatuambia mbeya ina cbd 2 lakini nikagoogle nikasoma nikaona hakuna mji wenye cbd mbili district haziwez kuwa mbili ndani ya city.
Size ya Makambako ππ
Hivi hata first class yatakuwa haya haya au kuna tofauti. Me naona haya ni ya third class bana.Utapanda daraja unalotaka kwa urefu wa mfuko wako.Umeshajiandaa kisaikolojia lakini kupanda kwenye Mabehewa ya hii bullet train yenu?..
Tumeambiwa hayo ndio Mabehewa ya masafa marefu Mikoa ya Mwanza,Kigoma,Katavi nk ..
Hayo Mabehewa yenu na ya Tazara yapi Bora?
Sasa uweke first class mje kupanda na mbuzi,ndama,kuku,nguruwe,mbwa na magunia ya michembe? πππ€Έπ€Έ..Hivi hata first class yatakuwa haya haya au kuna tofauti. Me naona haya ni ya third class bana.Utapanda daraja unalotaka kwa urefu wa mfuko wako.
Aliyekuambia kwamba Mbeya haijapangwa Ni Nani? Kwa taarifa yako sehemu kubwa ya Jiji la Mbeya limepangwa kuliko hata Mwanza..Mimi sina wivu na mji wowote wa Tanzania lakini hili jiji la mbeya linaitaji mipango miji ya uhakika yaani mji karibu wote unaitaji kuvunjwa waanza kuujenga upya, cbd ndio kila kitu lazima pawe vizuri well planned, organized na good infrastructures, hizi nyumba tunategemea kuziona huko ndani ndani na sio kwenye cbdπππ
Wivu utakuua,Kama hii Ni disorganised settlement Basi tuletee hapa organised settlement ya Mwanza..CBD Huwa ni Moja ,,,,ila kutokana na mbeya kuwa na disorganized settlement CBD haijulikani ni wapi ,,,,wanaangalia lilipo soko la mwanjelwa au stendi ya daladala kabwe au kwenye ofisi za benki uhindini
Wivu Ni kidonda ππ.Kanda ya Ziwa hata halmashauri za miji bado ziko vizuri kuliko huu uchafu, halafu unaitwa jiji, tunapeana aibu tu kwa kweli.
Siye tupande na hiyo mifugo tukienda wapi aisee wakati tumeshazoea kupanda ndege meli za viwango na mabasi classic, hivi siyo vitu vigeni kwetu tumevizoea mzeeSasa uweke first class mje kupanda na mbuzi,ndama,kuku,nguruwe,mbwa na magunia ya michembe?..
Jifunzeni ustaarabu kwanza afu ndio muhitaji Mabehewa ya first class na hapo lazima yatakuwa yanaenda mwendo wa Bus tuu.
Hivi green city huwa inatokea wapi hapa? Mmejitahidi kupapanga hapa lakini mbona mpaukoAliyekuambia kwamba Mbeya haijapangwa Ni Nani? Kwa taarifa yako sehemu kubwa ya Jiji la Mbeya limepangwa kuliko hata Mwanza..
Mji haujapangwa kwenye mitaa Michache na bahati mbaya hiyo Michache ndio iko sehemu ya biashara yaani Ni rahisi kufikika..
Sokomatola Mjini city centre Centre
Picha ya kwanza angalau miti nimeiona, imejaribu kuikaribia Bukoba kwa mitiWivu utakuua,Kama hii Ni disorganised settlement Basi tuletee hapa organised settlement ya Mwanza..
Mbeya City
Ajenda iliyopo Ni miti au? ππππ.Picha ya kwanza angalau miti nimeiona, imejaribu kuikaribia Bukoba kwa miti
Huwa inatokea mitaa mbali mbali ya Mbeya..Hivi green city huwa inatokea wapi hapa? Mmejitahidi kupapanga hapa lakini mbona mpauko?
Hii ndo mnaita green city?Aliyekuambia kwamba Mbeya haijapangwa Ni Nani? Kwa taarifa yako sehemu kubwa ya Jiji la Mbeya limepangwa kuliko hata Mwanza..
Mji haujapangwa kwenye mitaa Michache na bahati mbaya hiyo Michache ndio iko sehemu ya biashara yaani Ni rahisi kufikika..
Sokomatola Mjini city centre Centre
Utaruka ruka Sana na kubadili gia angani ππ.Hii ndo mnaita green city?
Vumbi na nyumba zenye kutu...kama sumbawanga tu..
Kwangu iringa ina skyline bora kuliko mbeya...ingawa iringa nako kuna mitaa kama ya mburahati na buguruni...ovyo kabisa huko kusini
Hizi nimezikubali. Hongereni sana.Huwa inatokea mitaa mbali mbali ya Mbeya..
Tofautisha miti ya Mjini na msitu Mjini..
Mbeya the Green City
Miti ndio inaleta ukijani bro. Ila kwa picha hizi angalau panavutia.Ajenda iliyopo Ni miti au?.
Mbeya itawapasua bandama nyie
Njombe ilishaipita LINDI mda mrefu, labda lindi ipindue MEZA kwa sababu ya uwekezaji wa gesiShinyanga-Mwanza ni mbali sana wewe mtu wa Njombe una matatizo.
.
Ona una ndoto mfu tena kwamba Njombe baada ya miaka 10-15 itazipita Iringa na Songea hivi hao watu wa Iringa watakuwa wamelala tu?
.
Njombe inaweza kuipita Lindi ila sio Iringa na Songea
Endeleeni kujifanya wajuani tunawaambia ukweli hilo likijiji la mbeya ni disoriented pia ni disorganized unakalia maneno, shauri yenu wenyewe bakini na ujinga wenu, palipo na mapungufu kubalini kukosolewa, mbona sisi Mwanza tunakubali tuna shida sana ya barabara.Wivu utakuua,Kama hii Ni disorganised settlement Basi tuletee hapa organised settlement ya Mwanza..
Mbeya City π
Maneno meengi.Endeleeni kujifanya wajuani tunawaambia ukweli hilo likijiji la mbeya ni disoriented pia ni disorganized unakalia maneno, shauri yenu wenyewe bakini na ujinga wenu, palipo na mapungufu kubalini kukosolewa, mbona sisi Mwanza tunakubali tuna shida sana ya barabara.