Kahama VS Njombe/Mafinga

Safi kabisa wamejitahidi sana kubana matumizi pesa iliyotumika ni ndogo kulingana na kazi kubwa iliyofanyika. Anaupiga mwingi sana [emoji846][emoji846][emoji846]
Mumebakia kuwanga na kutafutiza. matatizo madogo madogo ili kujifariji kwa chuki zenu kwa SSH ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Mumebakia kuwanga na kutafutiza. matatizo madogo madogo ili kujifariji kwa chuki zenu kwa SSH ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Kwani hapo kosa lake nini? Wakati anasifia huo mradi ulivyo wa viwango na umejengwa kwa gharama ndogo sana tofauti na makisio yao ya milion 50, hakika mama samia na serikali yake wanaupiga mwingi sana hasa kudhibiti wizi na ufujaji wa pesa za serikali kwenye miradi mbalimbali.

Tupo pamoj na mama kwenye safari ya ku๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹ ๐Ÿฏ
 
Tandale wakasome Ahahahahahahaa
Mimi sina wivu na mji wowote wa Tanzania lakini hili jiji la mbeya linaitaji mipango miji ya uhakika yaani mji karibu wote unaitaji kuvunjwa waanza kuujenga upya, cbd ndio kila kitu lazima pawe vizuri well planned, organized na good infrastructures, hizi nyumba tunategemea kuziona huko ndani ndani na sio kwenye cbd๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ