Kahama VS Njombe/Mafinga

eti watu walitaka kujenga barabara za lami kwenye mitaa Yao .
Aisee this is too much
Yes Kampuni ya wazawa ya Abemulo imejenga barabara kadhaa hapo Bukoba mjini kwa pesa zake tu bila mchango wa serikali...

Barabara kadhaa za mtaa wa hamgembe maeneo ya kanoni...zimejengwa na hili kampuni kwa hela zake bila mchango wa serikali....

Barabara ya migera c hapo Bukoba imejengwa na mtu binafsi...

Taa za mjini kati barabara ya kashozi zimewekwa na mtu binafsi..ni mzawa mmoja hiv na kampuni lake la umeme..

Mbona zipo barabara nyingi tu Bukoba zinajengwa na watu binafsi...mimi huwa nashangaa watu wanaosema watu wa Bukoba hawawekezi kwao...
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Yaani Nimecheka Sana leo jamaa unalalamika Kama umechukuliwa mke πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221121-153339.png
    33.8 KB · Views: 6
Kwa mikoan kwa Sasa mbeya inafunika kuwa na mabus mengi
View attachment 2422669
Mkuu kwa Kusini Mbeya inafunika..

Ona Hawa Kahama ambao Wana kampuni 4 tuu za Dar -Kahama eti ndio wanataka Kuehindana na Njombe yenye kampuni zaidi ya 8..

Kanda ya Ziwa bado Sana ona Sasa wanavyotia aibu hapa πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221120-113244.png
    161.6 KB · Views: 7
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwamba wakina nshomile waitu+ watu wa kaskazini wamezoea kudeka na kudemka tuπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Bukoba miradi mingi itajengwa lakini sio stendi maana wanasiasa wameifanya sehemu ya kuombea kura, tusubiri 2025 hiyo ndo itakuwa agenda yao kuhusu kujenga stendi kama ilivyokuwa chaguzi zilizopita lakini hakuna kinachoendelea
 
Bukoba miradi mingi itajengwa lakini sio stendi maana wanasiasa wameifanya sehemu ya kuombea kura, tusubiri 2025 hiyo ndo itakuwa agenda yao kuhusu kujenga stendi kama ilivyokuwa chaguzi zilizopita lakini hakuna kinachoendelea
Kuna mradi wa tactic mtajengewa ni mwaka ujao mwezi wa tatu, lakini mpunguze kudeka kama mkulungwa hapo juu alivyowaambiaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bukoba miradi mingi itajengwa lakini sio stendi maana wanasiasa wameifanya sehemu ya kuombea kura, tusubiri 2025 hiyo ndo itakuwa agenda yao kuhusu kujenga stendi kama ilivyokuwa chaguzi zilizopita lakini hakuna kinachoendelea
Kiukweli Tanzania bado sana ...yaani mtu anakuja kuomba kura Kwa kuahidi stendi...Kuna ignorance ya Hali ya juu sana ......
Sisi tulitarajia mmpe kura ili aimarishe Hali ya uchumi wa mkoa kupitia sekta za kilimo , uvuvi,na biashara.na aboreshe huduma zote za msingi kuanzia maji Hadi umeme
 
Wanadanganywa kwenye vitu visivyo na tija kiuchumi.
 
Tatizo sio wanaahidi nini kama lina tija kwa wananchi Bali ni kuahidi bila kutimiza, Kuna sehemu wanaahidiwa umeme mpaka kwa kumwaga nguzo ila baada ya uchaguzi zinaondolewa usiku
 
Nimecheka Sana yaani..😁😁😁😁

Soma hapa πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221122-185635.png
    210.6 KB · Views: 7
  • Screenshot_20221122-185202.png
    227.3 KB · Views: 8
  • l9OW-oSDxTlvIC5r.mp4
    2.5 MB
Huyu mwamba Anaupiga mwingi Sana huku Highlands na Kusini amechafua kila Kona.

Mbamba Bay -Dar,

Mbamba Bay-Kyela πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221122-183927.png
    182 KB · Views: 7
  • Screenshot_20221122-191613.png
    169.6 KB · Views: 6
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…