Kahama VS Njombe/Mafinga

Kwa kuongeza tu adi stendi zinakosa nafasi ya mabasi kupark kama vile stendi ya nyamhongolo ilivyojaa na muda mwingine hakuna nafasi kabisa.
 
Huu ni ushamba mwingine, kusifia magari mazuri ambayo hayana impact kwa ukuaji wa mji wako
Aisee ujinga ukichanganya na wivu Ni nouma,kwamba usafiri hauna impacts.😁😁😁😁

Haya hapa ya Mwanza Sasa ndio Yana impacts πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221120-113142.png
    226.6 KB · Views: 8
  • Screenshot_20221120-111306.png
    261.9 KB · Views: 9
  • Screenshot_20221120-111026.png
    178.2 KB · Views: 8
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sindano tayari imefika kunako..mengine Ni kujifariji tuu.

Tatizo sio kuwa na stand nyingi,swala Ni bus classic..

Yaani watu wanapanda kwenye mabus na mbuzi,michembe,maziwa,wananuka nani awaletee bus Kali?πŸ˜†πŸ˜†

Nyie Bus zenu ni hizi hapa πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221120-113142.png
    226.6 KB · Views: 8
  • Screenshot_20221120-111026.png
    178.2 KB · Views: 7
  • Screenshot_20221120-111306.png
    261.9 KB · Views: 6
Roho mbaya tuπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hayo mabasi mbona ya kawaida sana, ni kama yale yanayoenda bariadi na maswa.
Huwa nakukubali una mbinu nzuri za kujifariji na ku cool down tempa ukizidiwa 😁😁😁😁..

Moto fire πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ Mbeya-Dar-Tunduma πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221120-110310.png
    220.6 KB · Views: 6
  • 20221120_110845.jpg
    92.6 KB · Views: 7
  • 20221120_110322.jpg
    97 KB · Views: 6
Kuna mnyama allys star ana mabasi kama 200 ya aina hii tena ni scania achana na hizi mchina yutong.
Huyo tuu ndio pekee anajitahidi kuwasitiri maana hata ukifuatilia discussions za ma admn walau wanasema anajitahidi..

Ila Bukoba msijali tunalawaletea hii Abood iliyokuwa Tunduma afu sie tunachukua chuma mpya πŸ˜†πŸ˜†.

BK kenueni meno ndege zitawamaliza πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221120-111922.png
    185 KB · Views: 8
  • Screenshot_20221120-095336.png
    141.6 KB · Views: 7
  • Screenshot_20221120-110459.png
    157.4 KB · Views: 8
Hizo ni za arusha, mwanza hakuna mabasi ya kishamba hivyo.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€Έ

πŸƒπŸƒπŸƒ Umeanza kuzikana Kama Simba kumkana kocha muuza ndaga ..

Ally Star unaemsifia huyu hapa πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221120-110619.png
    168.4 KB · Views: 6
Yaani haya mabasi ya Premier Mbeya-Mwanza ndio mabaya lakini ndio makali kwa Mwanza 😁😁..

Huyu nae anasubiria Barabara ya Tabora-Mbeya ikamilike ashushe Mineso maana watu wa Mbeya huwa hatupandi mapipa ya hovyo..πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221120-114454.png
    145.2 KB · Views: 7
  • 20221120_114428.jpg
    114.7 KB · Views: 6
  • 20221120_114430.jpg
    60.9 KB · Views: 5
Songoro kashusha mizigo ya kuelekea bukoba kutoka Mwanza nyie endeleeni na viswaswadu vyenu vya mabasi.
 
Songoro kashusha mizigo ya kuelekea bukoba kutoka Mwanza nyie endeleeni na viswaswadu vyenu vya mabasi.
Endeleeni kuogelea Kama viboko kwenye maji ,tuacheni na mabusi..

Hii hapa inaingia Mwakani route ya Dar-Mbeya-Tunduna-Lusaka usije kusema sijakuambia..

Soma sifa zake hapo.πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221120-111549.png
    139 KB · Views: 7
  • Screenshot_20221120-111624.png
    187.5 KB · Views: 6
  • Screenshot_20221120-111635.png
    116.8 KB · Views: 5
Matajiri wetu wa Kusini Kama Bw.Msigwa amewaonea huruma baada ya kuona mkihangaika na usafiri..

Amewaletea vyuma Bora kabisa ili mpgie na picha..Superfeo/Selous Express unqchagua rangi mwenyewe πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ..

Mwanza-Songea πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221120-114340.png
    175.6 KB · Views: 7
  • Screenshot_20221120-093852.png
    180.5 KB · Views: 6
  • 20221120_094001.jpg
    360.3 KB · Views: 6
  • 20221120_093654.jpg
    232 KB · Views: 6
  • 20221120_093948.jpg
    622.6 KB · Views: 7
  • 20221120_093935.jpg
    90.8 KB · Views: 7
  • 20221120_094028.jpg
    348.6 KB · Views: 7
  • 20221120_093616.jpg
    365 KB · Views: 7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…