Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama ilistahili toka enzi za mkapa, sio huruma ya mwendazake.
Mfano lindi ni manispaa toka henzi za nyerere je inaizidi nini kahama?
Kwanza tu, ule mradi mkubwa wa maji wa kwanza wa Lake Victoria, target ilikuwa Kahama, sio Shinyanga vijijini, Nyangwale wala Misungwi tena kwa miaka ya hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…