Kahama VS Njombe/Mafinga

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Wivu ukakuua..

Tunduma inaizidia Kahama Mambo yafuatayo ,

Mapato ya ndani,
Masoko,
Stand,
Hospital na Vituo vya Afya,
Majengo ya ghorofa,
Idadi ya magari.
Figure ndio zinaongea kuliko maneno matupu
 
Leta figure mzee
Weka mapato ya Kahama 2022 robo ya 1..,

Ya Tunduma haya hapa bil.3.7 kwa miezi 3 july-September 2022👇
 

Attachments

  • tunduma_town_council_166886275256830.jpg
    170.9 KB · Views: 13
  • tunduma_town_council_1668862752569997.jpg
    112.5 KB · Views: 12
TTCL walitoa kodi zao za kikanda, hiyo kanda Magharibi mpaka leo haipo na hakuna code yake, Kigoma wanatumia code 028 ya Lake zone, Tabora 026 ya Central zone, Hiyo Kanda ya Magharibi unayoisema ipo hewani hewani tu???????😛😛😛😛
 
Majengo kama haya yanayopatikana huko mwamashimba ndani ndani ndio unaleta, lakini tatizo sio wewe bali ni kukosa exposure, pole sana mr excuses
😁😁😁😁😁😁😂😂😂😂😂 Excuses baada ya kukosa..

Hilo gulio sio la kuehindana na Tunduma lango kuu la Sadc
 

Attachments

  • tunduma_town_council_1668863273199600.jpg
    77.6 KB · Views: 11
  • tunduma_town_council_1668863273199123.jpg
    113 KB · Views: 13
  • tunduma_town_council_1668863273198293.jpg
    99.8 KB · Views: 13
  • tunduma_town_council_1668863273198137.jpg
    96.4 KB · Views: 12
  • tunduma_town_council_1668863273198797.jpg
    110.5 KB · Views: 10
  • tunduma_town_council_1668863273198116.jpg
    97.6 KB · Views: 13
  • tunduma_town_council_1668863273199828.jpg
    140.4 KB · Views: 11
  • tunduma_town_council_166886327319964.jpg
    100.4 KB · Views: 13
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…