Kahama VS Njombe/Mafinga

Hivi ukiacha Mwanza jiji Kuna Mji gani huko Kanda ya Ziwa unaweza shindana na Tunduma?

Ujenzi wa soko la Kisasa la Machinga Kama la Dom ukiendelea Tunduma πŸ‘‡
 

Attachments

  • tunduma_town_council_166886094672573.mp4
    5 MB
  • tunduma_town_council_1668861033950179.jpg
    203.7 KB · Views: 10
  • tunduma_town_council_1668861033950394.jpg
    199.6 KB · Views: 11
  • tunduma_town_council_1668861033949121.jpg
    185.4 KB · Views: 10
  • tunduma_town_council_1668861033949945.jpg
    147.6 KB · Views: 10
  • tunduma_town_council_1668861033949119.jpg
    185.4 KB · Views: 9
Afu Southern Highlands tuna surplus ngapi? πŸ˜‚πŸ˜‚.

Ndio maana umekwepa kutaja 😁😁
 
Ipo njiani kivipi wakati Kanda ya Magharibi ipo hata kabla ya Katavi..

Katavi imeongezea tuu
 
Hapa umempiga za kichwaa
Secta zote alizokuq anajisifia mara uzalishaji wa mazao umempiga chini
Yaani nyie ndio washamba..Ni siku Nyingi tuu na hata ukiangalia takwimu za wizara ya kilimo ,Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini haipo Tena kwenye too producer wa vyakula..

Kwa mfano mahindi ukiacha Ruvuma Kuna Kigoma,Dodoma nk..

Mpunga Kuna Morogoro,Shinyanga,Geita,Arusha nk.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Wivu ukakuua..

Tunduma inaizidia Kahama Mambo yafuatayo ,

Mapato ya ndani,
Masoko,
Stand,
Hospital na Vituo vya Afya,
Majengo ya ghorofa,
Idadi ya magari.
Magari ya Transit πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›, umeambiwa Kahama Transit hazipiti?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…