Iringa,Songea na Sumbawanga ujenzi wa Airports unaendelea achilia mbali baba lao Songwe Airport.Ujenzi unaendelea uwanja wa ndege musoma..
Kanda ya ziwa inaenda kuongeza Kwa kuwa na viwanja vya ndege quality..bukoba tayari, mwanza on progressing,musoma on the way ,geita tayari.bado shy town View attachment 2414813View attachment 2414814View attachment 2414815
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakenua meno kwa vitu visinyo na msingi ππ..
Kuna uzuri na ukubwa elewa hio tofauti nilichosema ni kanisa zuri kwa kulinganisha na makanisa ya njombe sasa wewe wakawe kamo umetoka wapi.uzi huu haukuhusuWatu 7,000 kwa wakati mmoja, nadhani ndio litakuwa kanisa kubwa kuliko yote Tanzania
Halafu uzi ni kahama na njombe mbona mnatoka nje ya mada njombe walete kanisa zuri kuzidi hilo la kahama maana kutwa kurusha kimnara cha kanisa wakati kanisa lenyewe la kawaidaUZuri picha zipo ndo uone utofautiView attachment 2411147View attachment 2411148
Kuna uzi wa Dar vs Nairobi ila kinachoendelea mle ni Tanzania vs Kenya,na hapa huu Uzi Ni Lake zone vs Southern Highlands licha ya hiyo heading..Halafu uzi ni kahama na njombe mbona mnatoka nje ya mada njombe walete kanisa zuri kuzidi hilo la kahama maana kutwa kurusha kimnara cha kanisa wakati kanisa lenyewe la kawaida
Musoma/ MaraKuna uzi wa Dar vs Nairobi ila kinachoendelea mle ni Tanzania vs Kenya,na hapa huu Uzi Ni Lake zone vs Southern Highlands licha ya hiyo heading..
Anyway Mahakama ya Wilaya Njombe..π
Kuna jengo lile la mahakama liko buswelu.kama unaelekea Kwa mkuu wa wilaya.lile jengo ni moto ....... Tanzania yapo matatu Majengo ya mahakama kama Yale .Musoma/ Mara
View attachment 2415280
Acha porojo,jengo Liko wapi?ππ.Kuna jengo lile la mahakama liko buswelu.kama unaelekea Kwa mkuu wa wilaya.lile jengo ni moto ....... Tanzania yapo matatu Majengo ya mahakama kama Yale .
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kumbe ulikuwa unaomba picha kwasababu ya huyu bwege nitakupostia kule kwenye uzi.Kuna jengo lile la mahakama liko buswelu.kama unaelekea Kwa mkuu wa wilaya.lile jengo ni moto ....... Tanzania yapo matatu Majengo ya mahakama kama Yale .
Sent using Jamii Forums mobile app
Haiwezi kupita Mwaka Mbeya ikakosa vyuma vipya..