Kahama ilishamaliza hii battle kwa kuwakojolesha bao 3, alafu kumbuka kahama ni manispaa na nyie bado ni vijiji vya ujamaa.Maneno meeengi,tuonyeshe za Geita au Kahama maana hapo Ni Tunduma sio Jijini Mbeya.
😆😆😆😂😂😂😁 Rubbish and uswazi town ya Kahama walishakimbia Hakuna Cha kuonesha.Kahama ilishamaliza hii battle kwa kuwakojolesha bao 3, alafu kumbuka kahama ni manispaa na nyie bado ni vijiji vya ujamaa.
Huwezi kumlinganisha kitombile na mkandarasi wa nyumba za tembe😂😂😂Unataka mpaka tuanze kuweka picha zetu? Sasa wewe kwa akili yako wale mnaoiwhi kule uswazi na uswekeni kwenu mnaijua hata jf kweli? 😁😁
Iringa ndogo Sana Kwa mbeya Ni Kama uyole
Ubaruku+Igawa+Chimala=IringaIringa ndogo Sana Kwa mbeya Ni Kama uyole tu
Tunajua huna picha za uswazi zaidi ya hizo za milima ya IgogoUswazi hauko mabatini tuu Bali uko kirumba,Bugando,kuanzia pale bandari Kama unapenda mkolani full uswazi na pananuka hatari,njia yote ya airport kumejaa matakataka ,buzuruga humo yaani Mwanza 90% Ni matakataka Kama hayo.
Hivi watu wa Mwanza huwa mnapata wapi ujasiri wa kuisema Mbeya,nyumba za matope za Mbeya zimazofanana na hizi hapa
Ningeshangaa, eti za utalii, nimekutana nazo sana hizo zinavuta container wagon, Ifakara, Mbingu, Mngeta mpaka MlimbaHAmna ni za mizigo zinabeba kontena
Ko
Nimeweka picha za uswazi Hadi nimechokaTunajua huna picha za uswazi zaidi ya hizo za milima ya Igogo
Bodaboda kazini 😂😂😂😂..
Under construction unataka uone nini???Bodaboda kazini..
Ni mavumbi na matakataka tuu naona hapo,kwetu nvua zinanyesha saizi.
Karibu Mbeya 👇Ila Mbeya Bado sana
Wacha tusubirie matokeo ya TACTIC KirumbaView attachment 2413225
View attachment 2413227
Maeneo ya Kirumba yanavutia kuliko city centre ya mbeya
Tunajenga soko kubwa kama la mjini kirumba na barabara unganishi za km 3Wacha tusubirie matokeo ya TACTIC Kirumba
Itaipendezesha sana kirumba na maeneo ya jirani! Pia kuna issue ya ukarabati wa uwanja wa CCM Kirumba kama bajeti ya mwaka huu inavyoelekeza ngoja tuone!Wacha tusubirie matokeo ya TACTIC Kirumba
Nafikir wanaweka mataa tuItaipendezesha sana kirumba na maeneo ya jirani! Pia kuna issue ya ukarabati wa uwanja wa CCM Kirumba kama bajeti ya mwaka huu inavyoelekeza ngoja tuone!