Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Neno potential halitafanya Mbeya isiwanyew Mwanza..

Kurundika watu maskini sio kuwa potential
Ebu . linganisha hizi za mbeya ..mitaa yake ..na
mwanza hapo chini unambie wapi wamerundikana masikini
images (39).jpg
JamiiForums637628279.jpg
JamiiForums1705739662.jpg
IMG-20221106-WA0012.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuletee picha za uzunguni,iwambi,forest mpya,uyole,Soweto nk maana naona umechagua zile za kwenu nzuri na ukaleta za Mbeya unazopenda kuziona wewe..

Mwisho usiache kutuletea na uswazi wa Mwanza.
Hyo kazi ya kuleta picha za Iwambi , forest Mpya ni kazi yako .sio mim .ila mimi mbeya nayoifahamu imejaa uswazi Tena ule wa kijijini..watu wanaongea kisafwa na kinyakyusa ....
Kingine niletee aerial view ya mitaa ya mbeya ukipata wa kulingana na huu nitag
IMG-20221106-WA0015.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hyo kazi ya kuleta picha za Iwambi , forest Mpya ni kazi yako .sio mim .ila mimi mbeya nayoifahamu imejaa uswazi Tena ule wa kijijini..watu wanaongea kisafwa na kinyakyusa ....
Kingine niletee aerial view ya mitaa ya mbeya ukipata wa kulingana na huu nitag View attachment 2411357

Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi kuweka kukufurahisha ,wewe weka unazotaka ila narudia Tena kujaza maskini sio ndio kuwa potential and will not spare you from poverty.
 
God's Gifts Kama hizi zinaoatikana kwenye mikoa ilibarikiwa tuu..

Non other than Mbeya 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221106-072750.png
    Screenshot_20221106-072750.png
    272.6 KB · Views: 21
  • Screenshot_20221106-073338.png
    Screenshot_20221106-073338.png
    340.3 KB · Views: 21
  • Screenshot_20221106-072705.png
    Screenshot_20221106-072705.png
    269 KB · Views: 18

Attachments

  • Screenshot_20221105-173826.png
    Screenshot_20221105-173826.png
    312.9 KB · Views: 20
ILEMELA YASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO MRADI WA UBORESHAJI MIFUMO YA USAFIRI

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela Eng. Modest Apolinary na Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa Bi Celine Robert wamesaini mkataba wa makubaliano wa uanzishaji wa mradi wa uboreshaji wa mifumo ya usafiri mijini.

Mradi huu ambao unatarajiwa kuanza mara baada ya kukamilika kwa upembuzi yakinifu mwishoni mwa Mwaka 2023 unatarajiwa kutekelezwa katika Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela na Jiji la Mwanza

Mradi huu utafadhiliwa na shirika la maendeleo Ufaransa(AFD) ambayo ni sehemu ya miradi inayotekelezwa katika programu ya "GREEN AND SMART CITY SASA"

Akishuhudia utiaji wa saini,ndugu John Cheyo Mkurugenzi wa Sera na Mipango kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI ambae alimwakilisha Katibu Mkuu amewataka wakurugenzi wa Halmashauri za Manispaa ya Ilemela na jiji la Mwanza kuhakikisha wanatoa ushirikiano wa kutosha kwa mtaalam mshauri wa mradi huu.

"Niwatake wakurugenzi kuhakikisha mnatoa ushirikiano wa kutosha pamoja na kuhakikisha mradi utakapokuwa unaanza rasmi mnachagua wataalam sahihi ili mradi ukamilike kwa usahihi na kwa wakati uliokusudiwa"amesema John Cheyo.

Bi Celine Robert ambae ni Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) ameshukuru kwa hatua iliyofikiwa na kusema kuwa lengo hasa la mradi huu ni kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi kwa kupunguza matumizi ya hewa ukaa kwa kuboresha usafiri mjini.
Ofisi ya Rais - Tamisemi Msemaji Mkuu wa Serikali Ikulu Mawasiliano Mkoa Mwanza

Ngoja popoma aje akuletee michoro ya flyover ya mbeya😂😂😂
 
Back
Top Bottom