The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183


evidence ni hziIla Mwanza inatia aibu,kila picha ya Mwanza lazima uone mauswazi 😂😂..Manispaa ya ilemela.ni far ahead ya jiji Zima la mbeyaevidence ni hziView attachment 2408511View attachment 2408512View attachment 2408513
Sent using Jamii Forums mobile app
Maskini...check mavumbi...Sumbawanga inazidi kukua huku Bukoba ikichakaa![]()
Nikajua ulikuwemo kwenye ndege ya prececion 🙄🙄.Maskini...check mavumbi...
Imagine Tz nzima kuna ukame wa kutisha...
Lakin Bukoba mvua zinanyesha muda wote na hazikatiki...
Poleni sana...Nikajua ulikuwemo kwenye ndege ya prececion.
Jamani tupeane pole maana tumepoteza staff mwenzetu huko![]()
Wela wela wela ! Macho hayachoki kutazama 👇
Hapa Tanzania hakuna kanisa zuri kama linalojengwa kawekamo mwanza la katolikiJimbo katoliki la kahama kanisa zuriiii
Hapa Tanzania hakuna kanisa zuri kama linalojengwa kawekamo mwanza la katolikiJimbo katoliki la kahama kanisa zuriiii