Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Huwezi kuamini nina rafiki yangu anaitwa masanja yuko ifakara pale kwake anafamilia moja watu kama 60 , kwenye mji mmoja kwanza ana wake 4 watoto kwa wastani kila mke anao 7, 8, 10 halafu hao watoto wake wanaendelea kuzaa ukichukua hiyo family tree hadi ufike kwa wajukuu itakua hatari sana, kingine ni msukuma anapiga sana kazi masanja analima zaidi ya ekari 100 mpunga na mahindi ya kula huenda kulima mlimba kama ekari 20, halafu analima ekari za mpunga wa kula kwake kama ekari 30, bado analima mazao mengine kama viazi vitamu na kafuga ng’ombe wengi sana, uwezo wa yeye kuhudumia familia yake anao mkubwa sana
Hadithiii
 
Attachments

  • IMG_20221015_073825_016.jpg
    IMG_20221015_073825_016.jpg
    1,008.3 KB · Views: 18
Wadau wangu wa Njombe mje mnisaidie kidogo hapa..

Hivi ni miezi ipi Njombe huwa wanakuwa na activities za kukusanya pesa nyingi maana kuna Taarifa imenistua kwamba Kwa robo ya kwanza Njombe TC imekusanya Bil.1.3 tuu..

Njombe itaweza vipi Kufikia makusanyo ya Bil.8.4 kwa mwenendo huu? 👇
Kuanzia mwez wa pili ila safar hii yatapungua mfano zao la mbao njombe dc wameshusha ushuru wao wafanyabiashara wamehamia huko pia nakufunguliwa Bara bara Ya makete nayo imeathiri wanafuata mzigo hukohuko tofauti na mwanzo
 
Okay hapa sasa umeeleza ukweli maana hata mimi ndugu yangu alikuwa anafuata Mbao Mbeya sasa anafuata Makete au Njombe DC moja kwa Moja hadi Mpanda..

Ndio maana Makete ilipata mapato bil.4 mwaka Jana seems mwaka huu watapata zaidi..

Njombe Mjini imeshawakata hiyo,hawataweza fikia Bil.8
 
Inategemea na interests zako sasa kama wataka mining nenda kahama ila kama wataka kilimo hasa cha miti na parachichi nenda Mafinga
 
Okay hapa sasa umeeleza ukweli maana hata mimi ndugu yangu alikuwa anafuata Mbao Mbeya sasa anafuata Makete au Njombe DC moja kwa Moja hadi Mpanda..

Ndio maana Makete ilipata mapato bil.4 mwaka Jana seems mwaka huu watapata zaidi..

Njombe Mjini imeshawakata hiyo,hawataweza fikia Bil.8
Mnapokuwa na undiversified economy hayo ndio matatizo yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sumbawanga inazidi kukua huku Bukoba ikichakaa 👇
 
Attachments

  • IMG_20221031_185430_969.jpg
    IMG_20221031_185430_969.jpg
    786.1 KB · Views: 20
  • IMG_20221031_185432_338.jpg
    IMG_20221031_185432_338.jpg
    824 KB · Views: 14
  • IMG_20221029_130807_516.jpg
    IMG_20221029_130807_516.jpg
    977.7 KB · Views: 17
  • IMG_20221029_131232_705.jpg
    IMG_20221029_131232_705.jpg
    1.2 MB · Views: 15
  • IMG_20221029_114338_783.jpg
    IMG_20221029_114338_783.jpg
    1.6 MB · Views: 17
  • IMG_20221029_114339_336.jpg
    IMG_20221029_114339_336.jpg
    1.5 MB · Views: 18
  • IMG_20221011_174138_663.jpg
    IMG_20221011_174138_663.jpg
    1.4 MB · Views: 22
Kisiba Crater Lake Rungwe Mbeya 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221106-073338.png
    Screenshot_20221106-073338.png
    340.3 KB · Views: 17
  • kisiba-crater-lake.jpg
    kisiba-crater-lake.jpg
    30.2 KB · Views: 19
Back
Top Bottom