Kahama VS Njombe/Mafinga

Hakuna kitu mkoa mzima watu laki nane tu. Huko uswekeni tu.
 
Then shinyanga apewe Kwimba na baadhi ya maeneo ya Usagara ili Kutengeneza Metropolitan City nzur kwa upande wa Mwanz
Hujui kitu tuulize sisi tunaojua, Ipo proposal ya mkoa mpya wa Nyanza ambao utakuwa na Wilaya za Busega, Magu, Kwimba, Sengerema, Buchosa na Misungwi. Huku baadhi ya maeneo ya kata za Magu na Misungwi zikianzisha wilaya mpya ya Kisesa na kulifanya Jiji la pili kwa ukubwa nchini Tanzania (Mwanza ) kuwa na Wilaya tatu yaani Nyamagana, Ilemela na Kisesa. Wazo la Chato kuwa mkoa linakufa natural death.
 
Hii habari nyeti sana, na iwe hivyo
 
me hapo sijaelewa kitu kwa hiyo mkoa wa Mwanza utakuwa na wilaya tatu za nyamagana, ilemela na kisesa tu?
 
Huoni chato ikipelekwa kuwa mkoa geita itabaki haina eneo ...Kwa sababu wilaya ya bukombe ,katoro na chato zenyewe zitaondolewa Geita ..ndo maana Geita waliomba buchosaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Katoro haiondoki Geita hujafuatilia. Inaondoka Bukombe na Chato kuungana na Biharamulo na Ngara. Hii ndio propasal.
 
Pole sana. Wilaya ya Sengerema bila Buchosa hakuna kitu.
 
me hapo sijaelewa kitu kwa hiyo mkoa wa Mwanza utakuwa na wilaya tatu za nyamagana, ilemela na kisesa tu?
Ndio mpango ulivyo, we subiri utaona. Kumbuka watu wa Busega mpaka leo wanaona kwamba walionewa sana kupelekwa Simiyu na ndio mambo yanakwenda hivyo.
 
Ndio mpango ulivyo, we subiri utaona. Kumbuka watu wa Busega mpaka leo wanaona kwamba walionewa sana kupelekwa Simiyu na ndio mambo yanakwenda hivyo.
Hii kitu itakuja kutokea miaka 500 ijayo sio sasa
 
Kwamba mnaiga Dar ilivyozungukwa na Pwani au? 😃😃.

Mwendazake akifufuka mtamwambia nini?
 
Wewe ndio huna akili, sijataja kigezo chochote kwa nini kahama itamegwa, ila umejibu kana kwamba ni idadi ya watu.
Kivevele nenda taratibu🤣🤣
 
Wewe ndio huna akili, sijataja kigezo chochote kwa nini kahama itamegwa, ila umejibu kana kwamba ni idadi ya watu.
Kivevele nenda taratibu🤣🤣
Mara nyingi nyie Misukule wa Mwendazake huwana hamna emotional stabiliy na mnadanganywa kirahisi Sana 😁😁😁😁..

Kahama haiwezi kumegwa labda utamegwa wewe kama Hawa mama zako wanaomegwa na popo bawa huku 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221031-182419.png
    141.2 KB · Views: 10
  • Screenshot_20221031-182446.png
    111.9 KB · Views: 10
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…