Kahama VS Njombe/Mafinga

waache utapeli kwani kisesa ipo mkoa gani?
 
waache utapeli kwani kisesa ipo mkoa gani? mimi najua kisesa pia ipo Mwanza wilaya ya Geita. wakitaka maeneo wakachukue huko kakonko mkoani kigoma.
 
waache waondoke wenyewe na mizigo yao hiyo buchosa waiache hapo hapo.
Mbona buchosa hata syo ya kuipigania..wilaya potential mwanza ni sengerema, misungwi na kwimba..hizi wilaya Zina reserve kubwa ya madini ya almasi na dhahabu.pamoja ardhi yenye rutuba ..
Kuhusu ziwa Wilaya ya magu na ilemela na ukerewe zipo na zinachangia vizuri kwenye uchumi wa blue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu huwa nakukubali sana kwenye mambo ya uchumi au labda huijui Buchosa nakuomba uangalie upya ramani ya mkoa wa Mwanza na angalia mahali buchosa ilipo theni uje uandike upya kamanga wangu.
 
sengerema unayojitambia kuwa kuna uchumi wa blue ni kwasababu ya halmashauri yake ya buchosa na visiwa vyake.
 
Kwani Kisesa ipo wapi...?!

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Siyo kweli hata kabla ya kugawanywa Iringa ilikuwa ni ndogo kwa Tabora. Tafadhali usidanganye watu
 
Hujui kitu kabisa. Kutoka Mwanza kwenda Geita kupitia Kamanga Ferry ni km 98 tu. Aidha, kutoka Mwanza kwenda Geita kupitia Busisi ni Km 120 tu siyo km 200 kama unavyodanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…