We mwenye akili ulichopost kinafanana na akil zako?Wewe ni Mjinga
Pande hii iko vizuri kupita CBD ya mbeya
Hizo road Kuna haja ya kuzifumua Ni sawa tu na za mitaani ndo maana Kuna siku niliwambia ule mkeka wa TAZAM ROAD Ambayo ndo barabara namba moja Tanzania wametendea haki na wakimalizia igawa to tunduma itakuwa burudan sehemu za mji zote wamepiga njia nneMzigo Mpya ...unaingia jijini ....SATCO mwanza pride ....View attachment 2397854View attachment 2397856
Hapo umeongea point ndugu yangu, pamoja na kwamba natokea kanda ya ziwa ila na support hii barabara ipigwe njia nne,
Hizo road Kuna haja ya kuzifumua Ni sawa tu na za mitaani ndo maana Kuna siku niliwambia ule mkeka wa TAZAM ROAD Ambayo ndo barabara namba moja Tanzania wametendea haki na wakimalizia igawa to tunduma itakuwa burudan sehemu za mji zote wamepiga njia nneView attachment 2398037View attachment 2398038View attachment 2398039
The pride of Southern Highlands 👇Mzigo Mpya ...unaingia jijini ....SATCO mwanza pride ....View attachment 2397854View attachment 2397856
sasa hilo nalo ni jambo jipya la kujisifu😄😄😄 kwa taarifa yako mwanza wanajenga shule 16 za sekondari za serikali magorofa 😄😄😄😄Madarasa ya shule za Sekondari kwa Mbeya ni magorofa tuu 👇
Ziko wapi? Kwani unadhani ni hizo tuu? Mbeya hadi shule za msingi za magorofa zinajengwa.sasa hilo nalo ni jambo jipya la kujisifu😄😄😄 kwa taarifa yako mwanza wanajenga shule 16 za sekondari za serikali magorofa 😄😄😄😄
Pcha za mambele zinafanya nini? kwanini usiwe realistic tu.