Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Reli Gani mliyo nayo ...kama sio Nyerere kufadhiliwa na mchina ..hyo reli mngeisikia tu .....huku reli Ina miaka mia kadhaa Toka mwingereza anatawala..ndo ujue tuko productive long ago

TANZAM Highway ni barabara kubwa kuliko yoyote Tanzania ni ile ya kutoka Dar hadi Tunduma na ndiyo ina code ya T1 wakati ya kwenda Arusha ina code ya T2 na ile ya kwenda Mwanza ina code ya T3! Kwenye hilo nawatetea Mbeya.
 
Wakati pimbi wa Mwanza wakishangilia reli ya sgr ,Mbeya ni mwendo wa Viwanda tuu,baadae wakiongoza kwa umaskini utaskia ooh tumeonewa ..

Msije kupita kimya kimya

Hoja ya SGR ni ya kawaida sana. Taarifa zilizopo ni kuwa reli ya TAZARA ni SGR( isichanganywe na issue ya umeme, bali SGR ni ukubwa wa vipimo vya miundombinu ya njia ya reli)! Hivyo SGR siyo jambo jipya sana, bali jambo jipya ni matumizi ya umeme kuendeshea treni ya speed kubwa.
 
Watu wa Kanda ya ziwa wakisikia neno SGR wanachanganyikiwa nyanda za juu kusini ipo kitambo reli ya TAZARA ilijengwa kwa kiwango hicho ishu Ni mfumo wa uendeshaji tu kuwa wanatumi disel ko wakiamu kuchange mfumo wa umeme inawezekana zote mbili Ni hizo 👇
FB_IMG_16666739009619057.jpg
FB_IMG_16666739979711900.jpg
 
Endelea kushangilia viwanda vya kanjibai huku mnazidi kuwa maskini 😁😁..

Hatua za mwisho za Ujenzi wa Kiwanda cha Value addition ya Mazao ya mbogamboga na matunda chini ya Agri-Connect unaenda kuzinduliwa mwezi wa 11,inanufaisha wakulima moja kwa Moja nyie mnashangilia kanjibai 😂😂.

Mbeya ni next level,sipati Picha GDP ya 2022 👇
Kuna viwanda vya samaki vingi tu, vinanufaisha wavuvi, kuna Mwatex inanufaisha wa kulima wa pamba, kuna Sayona inanufaisha wenye matunda, kuna songoro marine nk
 
Hoja ya SGR ni ya kawaida sana. Taarifa zilizopo ni kuwa reli ya TAZARA ni SGR( isichanganywe na issue ya umeme, bali SGR ni ukubwa wa vipimo vya miundombinu ya njia ya reli)! Hivyo SGR siyo jambo jipya sana, bali jambo jipya ni matumizi ya umeme kuendeshea treni ya speed kubwa.
Acha uongo, TAZARA ni Cape gauge
 
TV stations mnazo?
Wanayo Mwakitalima Online TV 😛😛😛😛, Walivyo na akili ndogo wanajua Mwanza kuna TV station moja (StarTV), Kuna nyingine inaitwa Barmedas TV ipo kwenye vinga'amuzi vyetu vya Star Times
 
We jamaa fatilia vizuri ile Ni sgr mzee sema mfumo wa uendeshaji ndo tofauti
Mnatakiwa kwenda shule
SGR sio mfumo wa uendeshaji sgr.
Afrika kusini wana treni za Cape gauge kama TAZARA ni zina umeme haziitwi sgr, wamejenga sgr wakati wa kombe la dunia nayo ni 80km long.
Kenya wana reli haina umeme lakini ni sgr.

Reli zinatofautishwa na upana wa reli.
Meter gauge, upana ni 1meter.
Reli ya kati ni meter gauge

Cape gauge upana ni 1.067m
Tazara ni Cape gauge

SGR au standard gauge upana ni 1.435m
Reli mpya ya kati ni sgr.
 
Record za mziki zipo kama tetemesha,more record na wasanii wakubwa wamefanya records je mbeya kuna nn😄😄😄😄
 
Kumbe inaitwa royal hospital aisee ...mwanza kwenye sector ya afya wako juu sana
Another Hospital is loading,New Maranatha Hospital Mbeya 👇
 

Attachments

  • IMG_20221015_170352_552.jpg
    IMG_20221015_170352_552.jpg
    1.5 MB · Views: 9
  • Screenshot_20221018-204035.png
    Screenshot_20221018-204035.png
    323.3 KB · Views: 9
Ahahaaa, Kahama kuna mpaka fast food zinafanya baking hapo hapo, unachukua Boflo la motooo
Tafuta Kiwanda Kama hiki Kanda ya Ziwa Yote ukilete hapa..

Mbeya Brewery 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221025-122416.png
    Screenshot_20221025-122416.png
    95.2 KB · Views: 9
  • Screenshot_20221025-122403.png
    Screenshot_20221025-122403.png
    150.7 KB · Views: 8
  • Screenshot_20221025-122346.png
    Screenshot_20221025-122346.png
    106.3 KB · Views: 9
  • Screenshot_20221025-122314.png
    Screenshot_20221025-122314.png
    97.9 KB · Views: 9
Back
Top Bottom