Hii nyundo ya utosi, anagugumia kwa maumivu dkk hiziAisee mbeya ni pabaya .check uto tujumba pembeni ya jengo..duh ...
Majengo ya maana ya mahakama na haki yanajengwa kwenye miji ya maanView attachment 2394842View attachment 2394843View attachment 2394844



Bado Sayona - Nyakato, Jambo ShinyangaMwanza kuna kiwanda cha TBL kikubwa, Kuna SBL kuna Pepsi kuna Coca Cola, ukienda Shinyanga kuna viwanda vya vinywaji vikali kama Hanson's Choice na Diamond Rocks kinaitwa East African Spirits (T) Limited...
ukija soft drinks viwanda ni vingi...
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Mpaka Bukoba kuna viwanda vya pombe kaliKuna kiwanda Cha shimha pale nyakato...huyo jamaa ni mshamba sana






Wanijiona born town
Dkk 30 mbeletakataka kabisa ....no fact no logic
Kama hii ndio miradi yako ..hufai kupewa tender...ukizoom hako kadaraja ka chini kana nyufa ...then kazi haipendezi kabisa ...low quality jobSasa kama hatuwekezi tunaishije? Nipe Kazi mimi ni contractor na kampuni yangu inaitwa Usagatikwa Earthworks Contractors ltd..![]()
Nyufa ni kawaida wewe kengeKama hii ndio miradi yako ..hufai kupewa tender...ukizoom hako kadaraja ka chini kana nyufa ...then kazi haipendezi kabisa ...low quality job
Ujinga ni mzigo.Vimewekwa kwenye viwanda 20 vya kati..hyo figure ya mbeya ni Mpya ...yaani total ya viwanda vikubwa na vya kati mbeya ni 30 .
![]()
Basi tuwaongezee .. hvyo 5 mfike 35 .Ujinga ni mzigo.
viwanda vyote hapo vimeanza Kazi mwaka 2021 so haviko kwenye hiyo hesabu ya 2019/2020.

mnatia huruma ..mkoa mzima
mnazidiwa na wilaya 1
Nikishawashauri hii kitu lakini naona ligi Iko kwenye nyumba na mabasiJapo napenda ligi yenu lakini tusiishie kusifia mali za watu wengine huu ushindani utupeleke tukaribishane kila mmoja kwao alipo tuone uwekezaji wake ni upi na wengine wajifunze haina maana kupost na kusifia tu vitu vya wengine tujiongeze na kujenga urafiki wa maendeleo na kupeana fursa mpya na zilizopo na tufanye mambo halali tulipe kodi nchi isonge mbele


Yaani unajitoa ufahamu eti 😜😜😜😜.Basi tuwaongezee .. hvyo 5 mfike 35 .mnatia huruma ..mkoa mzima
mnazidiwa na wilaya 1
View attachment 2395223
Endelea kushangilia viwanda vya kanjibai huku mnazidi kuwa maskini 😁😁..Viwanda complex na significant kama hvi huwezi vipata huko ,,, Kijiji kikubwa Cha viaziView attachment 2395198View attachment 2395199View attachment 2395201
Mbona umeisahau hospitali ya wasabato pale pasiansi yenye gorofa 6Tukuwekee hapa ili ...sema nikutumie nauli uje nikutembeze ...nauli ya mbeya ni elfu 60 nichek pm
hizo hospital ni hiz na Sina muda wa kutumia picha waweza google
Sekotouere hospital
Bugando hospital
Uhuru hospital
AAR hospital
Tanzanite hospital
Mwanza hospital
Kamanga medics
Agha Khan hospital
Mwananchi hospital
Nyamagana hospital
Hindu Mandal hospital
.ukitaka addition nakupa
Ziko wapi za MbeyaHunaga picha nyingine tofauti na hii? 😁😁.
Nataka private residential sio mabweni
Zimejaa humu pitia kurasa za nyuma utazionaZiko wapi za Mbeya
Mbeya inaviwanda zaidi ya 2,000 hizo mkuyuni ndio takataka gani?Yan mkuyuni na igogo inazid idadi ya viwanda vilivyopo mbeya 😄😄😄😄