intelligent man
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 706
- 1,126
Hii picha ni ya miez 2 iliyopita pengine sasa hv wapo floor ya 10 😄😄Royal hospital Ghana/ Mza sasa wapo Ghorofa ya 8 na matoleo Ghorofa ya 9 tayariView attachment 2395552
Hii picha ni ya miez 2 iliyopita pengine sasa hv wapo floor ya 10 😄😄Royal hospital Ghana/ Mza sasa wapo Ghorofa ya 8 na matoleo Ghorofa ya 9 tayariView attachment 2395552
Jumamosi hiyo janaHii picha ni ya miez 2 iliyopita pengine sasa hv wapo floor ya 10 😄😄
Mbona nikihesabu vzur ni floor 7 matoleo ndo ya 8 ngoja kesho nipite hyo mitaaJumamosi hiyo jana
Mzigo huko 8, matoleo ya 9. michomoko ya nondo ni mirefu baada ya 8, inaashiria la 9 lipo countedMbona nikihesabu vzur ni floor 7 matoleo ndo ya 8 ngoja kesho nipite hyo mitaa
Sijaona Nyumba za MbeyaZimejaa humu pitia kurasa za nyuma utaziona
UnachekeshaNjombe haijawahi kusinzia..
Kiwanda Kipya cha Mikate Mjini Njombe.
Hapa watapita kimya kimya 👇
ww itakuwa umehesabu na ground af panapokuchanganya ni pale floor ya juu ukiona kwny picha unahis zipo 2 kumbe ni mojaMzigo huko 8, matoleo ya 9. michomoko ya nondo ni mirefu baada ya 8, inaashiria la 9 lipo counted
Michomozo ya nondo, baada ya floor ya naneww itakuwa umehesabu na ground af panapokuchanganya ni pale floor ya juu ukiona kwny picha unahis zipo 2 kumbe ni moja
Mwanza ni next level kabisa achana nayoLeo kidogo nawapa kamradi watu wa Mwanza mjifariji kidogo na pesa za EU 👇
Huyo mama kaiona fursa njombe mjini kulikuwa hakuna kiwanda Cha mikate makambako ndo vipo zaidi ya viwiliNjombe haijawahi kusinzia..
Kiwanda Kipya cha Mikate Mjini Njombe.
Hapa watapita kimya kimya 👇
Kuwa serous basi kwa kuheshimu thread, mpaka viwanda vya mikate ni vya kujadili humu???Njombe haijawahi kusinzia..
Kiwanda Kipya cha Mikate Mjini Njombe.
Hapa watapita kimya kimya![]()




Sio viwanda ni nini?Kuwa serous basi kwa kuheshimu thread, mpaka viwanda vya mikate ni vya kujadili humu???![]()
Huku Kahama vimejaa mtaani yaani, hlni viwanda sawa na vile vya cherehani 3 tu.Sio viwanda ni nini?




Naona mwanza ipo 2nd
Mwenyew nmeshangaa hadi bakery analeta kwa jukwaa🤣🤣Huku Kahama vimejaa mtaani yaani, hlni viwanda sawa na vile vya cherehani 3 tu.![]()
Ahahaaa, Kahama kuna mpaka fast food zinafanya baking hapo hapo, unachukua Boflo la motoooMwenyew nmeshangaa hadi bakery analeta kwa jukwaa![]()