Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 7,149
- 7,966
Daraja la busisi a.k.a booster ya uchumi mwanza ni kama vumbi la congo kwa mwanaume lofa kama wewe, pili sgr ni kama kilainishi cha uchumi mwanza, meli za mizigo na abiria ndani ya ziwa victoria ni kama mwanamke mrembo kwa rijali kama mimi, miundombinu ya barabara, masoko, mastendi kila mahali hakika hivi vitu vikija kukamilika uchumi wa nyanda za juu kusini ikiwemo mbeya zikipangwa 7 ndio zitalingana na mwanza, sisi wana Mwanza tutakuwa tunalamba tu asali😋😋😋😋😋Wameshindwa kina Shinyanga na migodi zaidi ya 3 sembuse hako kamoja?
Geita iko wapi? Mtaipata ila sio ndani ya miaka 3,the moment mnaifikia hiyo Mbeya itakuwa imeshawapita zamani Sana..
Mbeya tutawapita bila hata Migodi bali kwa barabara tuu.



