Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Kila siku nakuambia akili huna..

Nani kakuambia rate ya GDP ni constant kila mwaka?

Pili Shinyanga ndani yake kuna Simiyu wakigawana tuu hapo hakuna kitu...

Mwisho niletee kinda hata kimoja Cha Pombe kali hapo Mwanza kama ilivyo Mbeya.
We namaa ni mshamba sana,kiwanda cha pombe kali mpaka geita uko kipo sembuse mwanza?Shinyanga tu kampuni za vinywji vikali nikama canon general supply(shujaa,zhimwa nk),East Africa spirits co ltd(diamond rocks,Hansons choice nk na zinapatikana nchi nzima),Bia kuna kiwanda kipya kikubwa na cha kisasa cha Gaki investments.Ukanda wa ziwa ndio unafuata kwa viwanda vingi baada ya dar na pwani.Mfano Shinyanga Kampuni ya Jambo tu inaviwanda zaidi ya 15(Maji,juisi mbalimbali,soda,ice cream,pipi,biskuti,bidhaa za mikate,bidhaa za asali,nyanya zakusindika,matunda nk,pia amefungua kampuni ya media(jambo fm&tv kampuni ya uingereza imefunga mitambo na inasimamia),viwanda vya vifungashio na mifuko viwili(Kisumwa na fresho parkaging),Viwanda vya nyama viwili,kiwanda cha nyuzi na nguo(jielong),viwanda vya mafuta na pamba vingi,kiwanda cha mabati,chuma,viti navyombo vya plastiki.Viwanda ni vingi sana navingine vipo hatua yakujengwa kama cha cement na sukari.Hii ni upande wa Shinyanga mji tu,Mwanza ndio vimejaa.
 
Kabla ya kuzungumzia Kanda nzima tujadili Mkoa mmja mmja..

Mwanza haina viwanda kushinda Mbeya maana hakuna space ya Viwanda.

Shinyanga ni sawa kuishinda Mwanza viwanda,hata Pwani ina Viwanda Vingi baada ya Dar..

Mwisho haoa Tanzania Mikoa ya Viwanda ni ,

Pwani,Dar,Tanga,Arusha,Shinyanga,Mbeya, Mwanza, Morogoro, Iringa na Dodoma.
 
takataka kabisa ....no fact no logic
 
We jamaa

We jamaa Mshamba sana nimegundua hujawahi kutoka zaidi ya nyanda za juu kusini ndio maana unaona ni maajabu,ebu google mahakama kuu kanda ya Shinyanga uone kama mfano.
Alaaa,ungeweka jengi kama hilo vinginevyo domodomo halikusaidii 👇
 
Attachments

  • FB_IMG_16534737002578898.jpg
    FB_IMG_16534737002578898.jpg
    99.3 KB · Views: 8
Kabla ya kuzungumzia Kanda nzima tujadili Mkoa mmja mmja..

Mwanza haina viwanda kushinda Mbeya maana hakuna space ya Viwanda.

Shinyanga ni sawa kuishinda Mwanza viwanda,hata Pwani ina Viwanda Vingi baada ya Dar..

Mwisho haoa Tanzania Mikoa ya Viwanda ni ,

Pwani,Dar,Tanga,Arusha,Shinyanga,Mbeya, Mwanza, Morogoro, Iringa na Dodoma.
Mwanza kuna kiwanda cha madawa ya binadamu... Mbeya kipo wapi...?! Mwanza kuna Pepsi Mbeya Leta... Mwanza kuna Coca Cola Mbeya Leta... Mwanza kuna TBL ipo Mbeya Leta... Mwanza kuna SBL Mwanza kuna Kiwanda cha Steel... Mwanza kuna kiwanda cha Mabomba UPVC na HDPE, Mwanza kuna viwanda vya Maji ya chupa, Mwanza kuna Gold Refinery Plant...

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mwanza,,,,ni level nyingine kabisa .. kwenye viwanda...hizi ni takwimu za mwaka 2016. Viwanda vikubwa na vya kati jumla ni 92 ...... ilemela pekee imeuzidi mkoa mzima wa mbeya View attachment 2395106
Bwana wee Nimekwambia Mwanza ina viwanda vichache Sana Kwa mikoa niliyokutajia na Pwani ndio inaongoza Kwa Tanzania.

Tufanye hujaona hiyo tatal figure ya 1790 na Kwa taarifa yako Mbeya ina viwanda zaidi ya hivyo..

Toka 2020-2022 kuna viwanda zaidi ya 100 vimeanzishwa Maeneo mbalimbali ya Mkoa hasa Mjini hapo,Chunya na Mbarali..
 
Mwanza kuna kiwanda cha madawa ya binadamu... Mbeya kipo wapi...?! Mwanza kuna Pepsi Mbeya Leta... Mwanza kuna Coca Cola Mbeya Leta... Mwanza kuna TBL ipo Mbeya Leta... Mwanza kuna SBL Mwanza kuna Kiwanda cha Steel... Mwanza kuna kiwanda cha Mabomba UPVC na HDPE, Mwanza kuna viwanda vya Maji ya chupa, Mwanza kuna Gold Refinery Plant...

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Wewe mara nyingi huwa nakwambia huna akili,mwenzio amekusaidia hapo Chini..

Seems wewe hata Mbeya huijui aisee walau mwenzio katembea tembea kidogo maana maswali yako ni ya Kijinga..

Sasa unadhani GDP ya 9Trn inatoka hewani au?
 
Bwana wee Nimekwambia Mwanza ina viwanda vichache Sana Kwa mikoa niliyokutajia na Pwani ndio inaongoza Kwa Tanzania.

Tufanye hujaona hiyo tatal figure ya 1790 na Kwa taarifa yako Mbeya ina viwanda zaidi ya hivyo..

Toka 2020-2022 kuna viwanda zaidi ya 100 vimeanzishwa Maeneo mbalimbali ya Mkoa hasa Mjini hapo,Chunya na Mbarali..
Leta figure.sio maneno maneno ....kama mwaka 2016 wakati huo GDP ya mwanza ilikuwa trillion 7 kulikuwa na viwanda 92 ,,,je mwaka 2022 wakati GDP ni trillion 12 itakuwaje......Mimi nimekuletea figure we unaleta assumption au nirudie Tena ..
PSX_20221023_074127.jpg
 
Leta figure.sio maneno maneno ....kama mwaka 2016 wakati huo GDP ya mwanza ilikuwa trillion 7 kulikuwa na viwanda 92 ,,,je mwaka 2022 wakati GDP ni trillion 12 itakuwaje......Mimi nimekuletea figure we unaleta assumption au nirudie Tena ..View attachment 2395115
Ilemela pekee inaitosha mkoa mzima wa mbeya Kwa viwanda
 
Leta figure.sio maneno maneno ....kama mwaka 2016 wakati huo GDP ya mwanza ilikuwa trillion 7 kulikuwa na viwanda 92 ,,,je mwaka 2022 wakati GDP ni trillion 12 itakuwaje......Mimi nimekuletea figure we unaleta assumption au nirudie Tena ..View attachment 2395115
Mwanza hakuna space ya Viwanda,viwanda vimehamia Shinyanga 😂..

Nyie komaeni na service industry.
 
Mwanza hakuna space ya Viwanda,viwanda vimehamia Shinyanga ..

Nyie komaeni na service industry.
Ko figure huzioni au .tatizo watu wa ludewa akili zenu FUPI kama mlivyo ... tembea tembea bas utoe ushamba... shinyanga Kuna viwanda Gani sasa au hujisomi ..mwanza Ina space za kutosha za viwanda na maeneo ya EPZ ...Kuna nyamhongolo, kisesa, Usagara, buhongwa.kote ni space na tambalale
 
Back
Top Bottom