Kwanza inatakiwa ujue kibiashara watu wa mkoa wa njombe wapo vizuri ndo maana wanacheza vizur na fursa zilizopo mkoani mwao na hivyo Ni viwanda vya awali vya bati ,misumar ,na nondo vipo makambako na usubiri kusikia Cha magari na pikipiki maana wamiliki wa kampuni ya befoward wapo makambako



..Kagera ...mnajaribu kujitutumua lakini wapi