The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,185
Mbeya 👇Mbeya ndio jiji pekee lisilo na shopping center ...hapa ni manispaa ya ilemelaView attachment 2393154View attachment 2393155
Tutolee huu uchafu [emoji706][emoji706][emoji706]....Mbeya [emoji116]
Eden Highland Hotel 👇Nipostie hotel za nyota 3+ mbeya
The Golden pigeon hotel [emoji116][emoji116]View attachment 2394105View attachment 2394106
Mwanza nzima ukikuta Jengo kama hili la Bima ya Afya nitag 👇Kahama ,,,NSSF wame invest kuliko mbeya ...tuletee institution investment kama hii hapo mbeya [emoji16][emoji16][emoji14]not even PSSSF tried to inject their fund in poor and shabby town like mbeya[emoji16][emoji16]View attachment 2394109
[emoji16][emoji16][emoji16]hii ni hotel au shule .aisee mnatia aibu [emoji14][emoji14][emoji14]..ona hotel classic zafaa kuwa[emoji116]Eden Highland Hotel [emoji116]
Aisee mnatia huruma ..hako ndio kajengo kenu kazuri kuliko twote [emoji14][emoji14][emoji16][emoji16][emoji116]vipi tuwaazime hili ..mbeya ukiniletea high storey street kama hii niitag nileft humu [emoji16][emoji16][emoji116]Mwanza nzima ukikuta Jengo kama hili la Bima ya Afya nitag [emoji116]
Mwanza nzima tafuta majengo kama haya 👇Aisee mnatia huruma ..hako ndio kajengo kenu kazuri kuliko twote [emoji14][emoji14][emoji16][emoji16][emoji116]vipi tuwaazime hili ..mbeya ukiniletea high storey street kama hii niitag nileft humu [emoji16][emoji16][emoji116]
CBD ya mbeya ni ya kuokoteza huwez ikuta Iko proper namna hiiView attachment 2394123View attachment 2394127
Mdope Hotel Mbeya 👇Kingdom hotel .Ghana View attachment 2394107
[emoji16][emoji16][emoji16]hako kajengo ka ghorofa sita ndio unakojivunia ....ndo maana hamna raisi anayependa kwenda mbeya .hata tulia akson ana kiwanja chake isamilo rock city...hataki vumbi chafu kama la hapo Kwa mama john[emoji116][emoji116]Mwanza nzima tafuta majengo kama haya [emoji116]
Hii mwanza ni kama ki apartment sio hotel ....maybe lodge tu kama zilizopo pale nyakato ...ni aibu Kwa jiji kuwa na hotel za kishamba namna hyo .[emoji116]Mdope Hotel Mbeya [emoji116]
hii ,,,saw na gas ya mtwara.. beneficiary ni dar na pwani ....the same applies to thisHaya Sasa kunazidi kucha mtarajie kuona GDP ya mkoa wa njombe ikipanda kwa kasi maana chuma kwa Sasa ndo kipo sokon na viwanda vitajengwa vya kuzidi
View attachment 2394158
Endelea kujidanganya watu tayar wameanza kujenga Hadi viwanda vya bidhaa za chuma ndani ya mkoa wa njombe afu unasema ita benefit pwanihii ,,,saw na gas ya mtwara.. beneficiary ni dar na pwani ....the same applies to this