The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Hapo Bukoba hakuna Mji Bali Kuna vichaka..Mji wenye mavumbi kama mbeya....na wew huna aibu unatupostia uchafu hapa...
Look at this paradiseView attachment 2388928
Miji ya katoro na Buse inawatu wengi mno Hao walkua wanapiga mishe zao. Usisahau watu walilazimishwa kufunga biashara zao na Mabasi yalitolewa bure na watu wengine walipewa poshoWasukuma ushamba haiwezi kuwaisha 😬😬
Wazee wa Katoro buselesele wakimshangaa Rais 👇
Sema Vijijini hakuna Mji hapo 😬😬.Miji ya katoro na Buse inawatu wengi mno Hao walkua wanapiga mishe zao. Usisahau watu walilazimishwa kufunga biashara zao na Mabasi yalitolewa bure na watu wengine walipewa posho
Tuondolee takataka hapa.Tunduma Border ya Wajanja Tanzania nzima
Unapongelea miji au majiji Kusini nyanda za juu hakuna mji au Jiji huko ni uswekeni tu.Mtapata wivu mkikuta Mbeya inaongoza Kwa per Capita,so unajua kule kwingine madini anakula mzungu afu nyie mnahesabu namba tuu
Kwa viazi ulaya na maparachichi sio Siri wametuzidNilikua naipa chapuo nyanda za juu kusini nilipoona mapato ya kanda ya ziwa nimebadili mawazo nyanda za juu bado haina potential kiuchumi na fursa ni za kutafuta hongera mwanza, hongera kagera, hongera mara, hongera simiyu, hongera shinyanga, hongera Geita baba lao kwenye dhahabu
Acha uchokozi mikidadi et nyanda za juu kusini wametuzidi kwa kilimo cha mpunga na maparachichi🤣🤣🤣🤣🤣Kwa viazi ulaya na maparachichi sio Siri wametuzid
Kwa viazi ulaya na maparachichi sio Siri wametuzid
Nionyeshe iyo miji ya mashenzin inakuajeSema Vijijini hakuna Mji hapo 😬😬.
Mji unakuwa hivi? 👇
Hata huo mpunga ...tuko level mojaAcha uchokozi mikidadi et nyanda za juu kusini wametuzidi kwa kilimo cha mpunga na maparachichi
Sangara wanafaidi viwanda vya Wahindi nyie ni watazamajiParachichi ya kilo moja 1500 uiweke na sangara 7000 kwa kilo hapo hujauza bondo, miti ya mbao tena bei zimeshuka ulinganishe na dhahabu gram inachezea kwenye 130k , hapana nimetafakari nimestuka kahawa ipo kagera na kigoma pia, Mwanza inategemewa na mikoa ya Geita, shinyanga, mara, tabora, katavi, simiyu, kagera, wote hufunga mizigo mwanza, mikoa tajwa hufanya biashara na eastern congo, uganda, rwanda, burundi, kenya, south sudan directly wanapeleka mazao kama udaga, mahindi, magimbi, mchele na kadhalika, wamefuga ng’ombe nyingi hata kama ni za kienyeji, ndizi kagera hasa karagwe. Kahawa muleba na karagwe, yaani kanda ya ziwa iko mbali kiuchumi kuliko nyanda za juu kusini huu ni ukweli mchungu maana naona pesa inatoka lake zone inafuata mahindi ileje isongole means kusini ni wakulima wakulima sana lakini wanunuzi wako kanda ya ziwa
Mapato yapi hayo mliyonayo Kanda ya Ziwa?Nilikua naipa chapuo nyanda za juu kusini nilipoona mapato ya kanda ya ziwa nimebadili mawazo nyanda za juu bado haina potential kiuchumi na fursa ni za kutafuta hongera mwanza, hongera kagera, hongera mara, hongera simiyu, hongera shinyanga, hongera Geita baba lao kwenye dhahabu
Ujenzi wa lami ndani ya Jiji la Mbeya km 25 ukiendelea mwaka huu,hapo ni nje ya Tactic👇
Duu!! Bora hata chato.Wodi hospital ya Mkoa wa Mbeya