The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Uko wapi huo ujenzi? Aisee haka kachuo kamekutoa maudenda sana khaa..Veta kagera Bukoba....
Na hapo ujenzi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam tawi la Bukoba umeanza...View attachment 2386093
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Mikoa mingine ina veta miaka mingi tena zenye hadhi ya Kanda kama Vile Veta Mbeya kinafundisha hadi walimu wa kuja kufundisha hapo Veta yenu mpya.

. Misenyi iko too far ukilinganisha na wilaya za huko kusini
