Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Kwan wahaya ndo wanaongoza kwa umaskini...au mkoa ndo maskini?
Wahaya wapo katika wilaya tatu tu za mkoa wa kagera wenye wilaya nane.....There is no connection kati ya wahaya na umaskini wa kagera...

Wilaya maskini zaidi mkoani kagera yaani biharamulo na ngara zote sio za wahaya..ni wasubi, washubi na wahangaza...
Bado wilaya za karagwe na kyerwa...

Hata ukijifanya mbishi...Tanzania hii wahaya ni moja ya Top jamii yenye watu wengi wa kipato cha kati na juu...Tazama hata mhaya aliyepo mtaani kwako..

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Huo Mkoa wanaishi kina nani? Vyuo wanajengewa wahaya peke yao?

Afu VETA ni kila Mkoa na kila Wilaya 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221011-163826.png
    Screenshot_20221011-163826.png
    157.8 KB · Views: 12
  • 20221011_163848.jpg
    20221011_163848.jpg
    154.9 KB · Views: 14
  • 20221011_163843.jpg
    20221011_163843.jpg
    173.9 KB · Views: 13
Nyanda za Juu Kusini kunazidi kufunguka..

Mkoa wa Songwe 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221013-095138.png
    Screenshot_20221013-095138.png
    258.1 KB · Views: 12
  • Screenshot_20221013-094955.png
    Screenshot_20221013-094955.png
    117.9 KB · Views: 11
Nyanda za Juu Kusini kunazidi kufunguka.

Morogoro,Ruvuma & Njombe Kuunganisha na lami 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221012-191901.png
    Screenshot_20221012-191901.png
    125.9 KB · Views: 10
  • Screenshot_20221012-191911.png
    Screenshot_20221012-191911.png
    46.3 KB · Views: 12
Wiki ya Neema,Waziri Mbarawa aagiza kutolewa haraka bil.2 kupanua barabara Mbeya 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221013-123839.png
    Screenshot_20221013-123839.png
    118.1 KB · Views: 9
Kweli umaskini haujifichi..

Wakati Mikoa ya Southern Highlands tuki enjoy barabara za lami kila mahala,Kagera wanakoita kuna Wasomi na watu wa kipato cho Kati wakaazi wake wanashangilia kupata hadi Barabara za mavumbi na maji ya Bomba.😁😁..

Akina instabul na great haya waje na taarabu zao tena 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221013-124154.png
    Screenshot_20221013-124154.png
    186 KB · Views: 10
  • Screenshot_20221013-124145.png
    Screenshot_20221013-124145.png
    119.2 KB · Views: 10
Sasa kwenda na kurudi Mbeya kuna daily flight 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221012-191425.png
    Screenshot_20221012-191425.png
    181.4 KB · Views: 11
  • 20221012_191442.jpg
    20221012_191442.jpg
    109.9 KB · Views: 13
Sasa kwenda na kurudi Mbeya kuna daily flight
Yaan mbeya na ukijiji wake inazidiwa na manispaa ndogo ya Bukoba kwa internal flights

Meanwhile Bukoba...
Air Tanzania mara mbili kwa siku na ndege zinajaa na mara nyingine mara tatu..

Presion air..kila siku saa tatu na inajaa...

Auric..hii kila siku jioni...saa kumi na moja...

Halafu unakataa wahaya kuwa na kipato cha kati na juu

1664174966130.jpg

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Yaan mbeya na ukijiji wake inazidiwa na manispaa ndogo ya Bukoba kwa internal flights

Meanwhile Bukoba...
Air Tanzania mara mbili kwa siku na ndege zinajaa na mara nyingine mara tatu..

Presion air..kila siku saa tatu na inajaa...

Auric..hii kila siku jioni...saa kumi na moja...

Halafu unakataa wahaya kuwa na kipato cha kati na juu

View attachment 2385802

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Lazima zijae maana nauli ya basi ni sawa na ndege huko kwenu so option ni ndege..

Mbeya ndio inaongoza Tanzania kwa kuwa na usafiri wa mabasi mengi so unaweza pata picha hapo..

Mwisho hiyo mara mbili iko wapi nionyeshe au ni Yale Yale ya Kagera kumeendelea kumbe mnashangilia barabara za mavumbi 😜😜
 
Kweli umaskini haujifichi..

Wakati Mikoa ya Southern Highlands tuki enjoy barabara za lami kila mahala,Kagera wanakoita kuna Wasomi na watu wa kipato cho Kati wakaazi wake wanashangilia kupata hadi Barabara za mavumbi na maji ya Bomba...

Akina instabul na great haya waje na taarabu zao tena
Hio misenyi wilaya nzima inakaribia kuwa na maji ya bomba...we kaa unakejeli kejeli huku mikoa yenu haina hata 10% ya maji ya bomba...tena vijijini huko ndo mnakunywa maji ya madimbwi...

Meanwhile Bukoba na misenyi kuna miradi mikubwa ya maji vijijini...

Mradi wa kemondo unaohudumia vijiji vyote vya bukoba vijijini...
Mradi wa maji kyaka_bunazi unaohudumia sehemu kubwa ya wilaya ya misenyi...

Na hii yote ni kwamba hizo wilaya zina nyumba bora vijijini ndo maana wanapeleka maji ya bomba...

😁😁😁😁 My foot
 
Lazima zijae maana nauli ya basi ni sawa na ndege huko kwenu so option ni ndege..

Mbeya ndio inaongoza Tanzania kwa kuwa na usafiri wa mabasi mengi so unaweza pata picha hapo..

Mwisho hiyo mara mbili iko wapi nionyeshe au ni Yale Yale ya Kagera kumeendelea kumbe mnashangilia barabara za mavumbi
Hebu tumia akili kidogo basi....

Nauli ya basi kutoka na kurudi Dar bukoba ni 150,000...
Nauli ya ndege ni 600,000 mpaka laki saba...
Wakati huo ni mshahara wa mtu mwezi mzima...mtu anaspend kwenda kwao...

Vip kuhusu mwanza Bukoba...si Kuna meli tena nauli 16k tu na mabasi 25k mbona ndege bado zinajaa...

Watu wa huko kusini hamna hela...yaan mtu uwe na hela upoteze mda na mabasi ambayo nayo ya ajali nyingi siku hiz uiache ndege...

Acha kuvuta bangi we Mzee,factor ya umbali ndio inaamua..

Kukaa barabarani siku 5 kwenda na kurudi Dar ulipe 150,000 na Kwa siku hizi sio chini ya 250,000 vs kutumia masaa kwenda na kurudi ukalipa 600,000 kipi Bora?

Mbeya to Dar Kwa Bus na Trian ni siku moja moja sawa na ndege huoni kwamba ndio sababu ya watu wa huko ku opt ndege?

Eti hatuna pesa wakati sie ndio namba 2 Kwa kipato hapa Tanzania ndio maana huwezi tukuta kwenye umaskini kama Kagera.

Nionyeshe usafiri wa Bukoba mara 2 Kwa siku kama unavyodai yaani flights 28 kwa week ziko wapi?
 
Nimeishia hapo uliposema Dar Bukoba ni siku 5....

Safari ya masaa 19 ndo imekuwa siku tano?

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Acha kuvuta bangi we Mzee,factor ya umbali ndio inaamua..

Kukaa barabarani siku 5 kwenda na kurudi Dar ulipe 150,000 na Kwa siku hizi sio chini ya 250,000 vs kutumia masaa kwenda na kurudi ukalipa 600,000 kipi Bora?

Mbeya to Dar Kwa Bus na Trian ni siku moja moja sawa na ndege huoni kwamba ndio sababu ya watu wa huko ku opt ndege?

Eti hatuna pesa wakati sie ndio namba 2 Kwa kipato hapa Tanzania ndio maana huwezi tukuta kwenye umaskini kama Kagera.

Nionyeshe usafiri wa Bukoba mara 2 Kwa siku kama unavyodai yaani flights 28 kwa week ziko wapi?
Kuna flights za Dar to Bukoba direct....bukoba inatua saa 2
Kuna flights za Dar to Mwanza bukoba....bukoba inatua saa 5

Hiz ni flights mbili tofauti za Bukoba...Air Tz...

Hiv Bukoba ndo mbali peke yake kutoka Dar sio?mbona sehemu nyingine hakuna abiria kiasi hiki

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Tunduma/Mpemba -Isongole/Malawi Border Road 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221013-154955.png
    Screenshot_20221013-154955.png
    109.1 KB · Views: 11
  • Screenshot_20221013-155006.png
    Screenshot_20221013-155006.png
    151.1 KB · Views: 10
Mikumi-Kidatu-Ifakara-Mlimba-Kibena/Njombe Road 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221013-155034.png
    Screenshot_20221013-155034.png
    166 KB · Views: 9
  • Screenshot_20221013-155053.png
    Screenshot_20221013-155053.png
    150 KB · Views: 11
Back
Top Bottom